Wanaume huwa hawaonji mara moja……………………..!

Kutoka nje ya ndoa ni huruka ya mtu mwenyewe, kwa wanaume na wanawake waliopo kwenye ndoa hata watimiziwe vipi mahitaji yao ya kindoa, lakini mwenye huruka atatoka tuu nje ya ndoa.
 
Tatizo sio kucheat, tatizo ni kukamatwa!!!

Tatizo sio kukamatwa, tatizo ni kwa nini u-cheat.......?
Kwani ni kitu gani umekikosa kwa mkeo, ambacho utakipata kwa huyo mwanamke mwingine...........?

Ni ulevi tu, tena ulevi wa "Unga"
 
Hivi kuna mwanaume anayeweza kukaa kwenye ndoa yake kwa kipindi chote cha uhai wake bila kumchit mke wake hata siku moja??siamini kama wapo!!

inawezekana kama mwanaume ameweza jitunza hadi ndoa hyo aina shda.tatizo na nyie bikra zenu zimekuwa hadimu kama mayai ya mbuni
 
khaaa kwani hua mnacheat ili mpate bikra??mbona kuna wanaume wanatoka nje ya ndoa then wanacheat na wake za watu na hao hua wanafata nini??
 
Na wapo wanawake hujitongozesha kwa wanaume wenye ndoa zao japokuwa anaona alama ya pete kidoleni lakini wanakomaa tu sikui nao tuwaweke vipi mkuu.
 
jamani eeeeeeeeh, tujue kwamba huwezikumpenda mtu mmoja dunia mzima so wapo watakao kuvutia tu lakini uvumilivu unahitaji nguvu za ziada kama kushika dini n.k sio kusema tu hutatoka ukaweza never!! haya mambo ni magumu sana zaidi tunavyo fikiri zaidi wanaume tamaa zinatusumbua sana kuzishinda kunahitaji nguvu za ziada..............
 
Hapo kwenye bold kuna kweli, tamaa ya mwili huchangia kwa kiasi kikubwa! Lakini tukumbuke pia si wanaume tu wanaotoka nje, wapo wanawake pia ambao kimsingi wao hutoka nje kwa tamaa ya vitu!!!

Mtu yoyote akianza kutoka nje, huwa haachi kirahisi, ni sawa na kula nyama ya mtu au kumtafuna mkuu wa meza, ukionja huwezi kuacha kamwe!!!
HorsePower MIMI SIJAELEWA HAPO KWENYE RED ,UPO WEWE????????
 
Last edited by a moderator:
du Mtambuzi nakusalim mkuu ,
huwa nachukia hiyo tabia sana mtambuzi ,na watu wengi imekuwa kama ni mzigo wa dhambi! HICHO NIKITU AMBACHO I CANT TOLERATE KABISA I DONT CARE ANYTHING HATA KAMA NI MUME WA NDOA NIKIKUGUNDUA THERE ITS OVER I DONT CARE CHRISTIAN MARRAGE OR WHAT NAJALI AFYA YANGU NA WANAONITEGEMEA I WILL GIVE U A BIG GO AHEAD.HILI HATA MUME WANGU ANATAMBUA ,,NO SECOND CHANCE ON THIS MATTER. NILISHA EMPLEMENT HILI SWALA NA NDIO SABABU NALIONGELEA KWA HAKIKA NA NIKO WAZI FROM THE BEGINING,NAAMINI SIJAZALIWA KUUWAWA NA MTU WALA KUTESWA MOYO NA BINADAMU NA ISITOSHE NINA THAMANI KUBWA SANA SIPASWI KUDHARAULIWA NA MTU KUNIONA KAMA MJINGA NAKUNIFANYIA MAMBO YA AJABU.IAM THE CONTROLER OF MY OWN DESTINY!
 
Shkamoooo Mzee Mtambuzi uliyejaaliwa utambuzi....(mweeeh)

Leo umenena haswaaaaa.........!!!

Nivea...nimekubali mama!!!
 
Ukifanya maamuzi na huduma ya kungonoka lazima usitishe.

du Mtambuzi nakusalim mkuu ,
huwa nachukia hiyo tabia sana mtambuzi ,na watu wengi imekuwa kama ni mzigo wa dhambi! HICHO NIKITU AMBACHO I CANT TOLERATE KABISA I DONT CARE ANYTHING HATA KAMA NI MUME WA NDOA NIKIKUGUNDUA THERE ITS OVER I DONT CARE CHRISTIAN MARRAGE OR WHAT NAJALI AFYA YANGU NA WANAONITEGEMEA I WILL GIVE U A BIG GO AHEAD.HILI HATA MUME WANGU ANATAMBUA ,,NO SECOND CHANCE ON THIS MATTER. NILISHA EMPLEMENT HILI SWALA NA NDIO SABABU NALIONGELEA KWA HAKIKA NA NIKO WAZI FROM THE BEGINING,NAAMINI SIJAZALIWA KUUWAWA NA MTU WALA KUTESWA MOYO NA BINADAMU NA ISITOSHE NINA THAMANI KUBWA SANA SIPASWI KUDHARAULIWA NA MTU KUNIONA KAMA MJINGA NAKUNIFANYIA MAMBO YA AJABU.IAM THE CONTROLER OF MY OWN DESTINY!
 
du Mtambuzi nakusalim mkuu ,
huwa nachukia hiyo tabia sana mtambuzi ,na watu wengi imekuwa kama ni mzigo wa dhambi! HICHO NIKITU AMBACHO I CANT TOLERATE KABISA I DONT CARE ANYTHING HATA KAMA NI MUME WA NDOA NIKIKUGUNDUA THERE ITS OVER I DONT CARE CHRISTIAN MARRAGE OR WHAT NAJALI AFYA YANGU NA WANAONITEGEMEA I WILL GIVE U A BIG GO AHEAD.HILI HATA MUME WANGU ANATAMBUA ,,NO SECOND CHANCE ON THIS MATTER. NILISHA EMPLEMENT HILI SWALA NA NDIO SABABU NALIONGELEA KWA HAKIKA NA NIKO WAZI FROM THE BEGINING,NAAMINI SIJAZALIWA KUUWAWA NA MTU WALA KUTESWA MOYO NA BINADAMU NA ISITOSHE NINA THAMANI KUBWA SANA SIPASWI KUDHARAULIWA NA MTU KUNIONA KAMA MJINGA NAKUNIFANYIA MAMBO YA AJABU.IAM THE CONTROLER OF MY OWN DESTINY!

Hapa wala nisiseme kitu........kuna namna mtu au hali flani hivi itanisemea wakati ukifika. Mark my words nivea.
 
Last edited by a moderator:
Kwani wanawake wanaoonja nje nao wanaonjaga mara moja?

Kila mwenye ulimi na aonje kadri atakavyo, asema bwana (sio Bwana), ila halahala asali haionjwi kwa ncha ya kisu.

Shkamoo mdingi. Upo?
 
Back
Top Bottom