Ni kama "Unga" ukimbwia, utabwia tena..........................
Mwanaume hatoki nje kwa sababu hampendi mkewe, hapana. Mwanaume hutoka nje kwa sababu ya tamaa ya mwili. Kwa hiyo, kama ameoa na akashindwa kuheshimu ndoa yake kwa kuongozwa na tamaa, ni wazi kwamba, hatakuwa na uwezo mkubwa wa kudhibiti miito ya kimwili. Udhaifu huo utamfanya kutamani vingi na kutenda. Kama mwanaume ana uwezo wa kudhibiti mihemko yake na kuheshimu uhusiano wake na mkewe, ni vigumu kwake kutoka nje. Kama uwezo huo hana, atatoka na akishatoka mara moja, ataamini kwamba hana uwezo wa kudhibiti, hivyo kutoka mara ya pili na ya tatu na nne litakuwa ni jambo la kawaida kwake.
Mtu akigeuza kutoka nje kuwa ni dawa, atatoka kila uhusiano atakaoingia kwa sababu, atakuta matatizo kwenye kila uhusiano. Hakuna uhusiano wa kimalaika kumbuka………………………
Purple upo?? amini nakwambia wapo, katika 1000 hukosi 10 wema na ambao hawacheat, ila mbaya cku hizi kuna ongezeko la mapunga kha!Hivi kuna mwanaume anayeweza kukaa kwenye ndoa yake kwa kipindi chote cha uhai wake bila kumchit mke wake hata siku moja??siamini kama wapo!!
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................Hivi kuna mwanaume anayeweza kukaa kwenye ndoa yake kwa kipindi chote cha uhai wake bila kumchit mke wake hata siku moja??siamini kama wapo!!
dah!! mkuu Mtambuzi kamwaga mchele kwa kuku mitetea.. ..leta na upande wa pili basi mkuu:loco:
Mie sijawahi kum-cheat mama Ngina, lakini naogopa nikisema kwa sauti hapa kina dada wakware humu wakisikia watanitega ili kunitia ibilisi nifanye kweli, ili wapate la kusema..................