[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimefurahi umemalizia mwenyeweHahaha....Shunie mchokozi wewe.
Anyway!!.. Mzee wa kupiga t@ko[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..haya bhana Shunie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimefurahi umemalizia mwenyewe
Asante ely ubarikiwe
ExactlyHuu ujumbe ni kwa ajili ya wanaume wapumbavu siyo wanaume wote.
Ujasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.
Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.
Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
Hakuna moshi bila moto. Huenda moto ukawa mwanamke ndani ya nyumbaUjasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.
Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.
Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
Ndiyo wasomi wengi walivyo utakuta nje wanamuona wamaana lakini kwakwe kutwa na vilaptop [emoji23][emoji23][emoji23] acha wamsasambulie mkewe ili akili imsogee, halafu wenyewe sijui huwa wanafurahia nini katka maisha haya, ndiyo maana wengi wao wanalea watoto wasio wao ujinga tuMie wa kwangu mpaka Leo bado naona sijamfaudu kabsaa, yaani hazoeleki kila nikimwangalia naona du mtoto anazidi kupendeza tu! Basi huwa nammaliza akitoka kuoga naingia room halafu natia dah navuta pumzi kuubwa ananiuliza nini tena! Nasema we acha tu ntamalizia Ile mahari maana mnaona unazidi kupendeza tuu anacheka. Basi siku hiyo atachangamka atafurahi. Ukiona katamani houseboy ujue mme wake ni wale jamaa wanaovaa suti 12hrs daily, wanarudi saa nne nyumbani toka kazini, wanabeba laptops za kazini hadi home! Vikao mpaka wikiendi, halafu ana masters ya Ulaya. Hawa wengi wanajifanya Wazungu akipewa anajisevia mwenyewe anamwacha mwenzie akisugua miguu tu kwa ugwadu. Mke naye anamuogopa mme wake msomi. Sasa anatafuta furaha kwa houseboy(midfielder) maana HG ni beki3
Ninachoelewa mawasiliano humaliza matatizo. Ukimfahamisha mwenzako unachokikosa kwake ninadhani atakuelewa. Muwe na weekend moja Bagamoyo watoto mnawaacha nyumbani. Kuanzia Friday night mnapata room service mkitoka kwenye chumba chenu mna check out Sunday.Mie wa kwangu mpaka Leo bado naona sijamfaudu kabsaa, yaani hazoeleki kila nikimwangalia naona du mtoto anazidi kupendeza tu! Basi huwa nammaliza akitoka kuoga naingia room halafu natia dah navuta pumzi kuubwa ananiuliza nini tena! Nasema we acha tu ntamalizia Ile mahari maana mnaona unazidi kupendeza tuu anacheka. Basi siku hiyo atachangamka atafurahi. Ukiona katamani houseboy ujue mme wake ni wale jamaa wanaovaa suti 12hrs daily, wanarudi saa nne nyumbani toka kazini, wanabeba laptops za kazini hadi home! Vikao mpaka wikiendi, halafu ana masters ya Ulaya. Hawa wengi wanajifanya Wazungu akipewa anajisevia mwenyewe anamwacha mwenzie akisugua miguu tu kwa ugwadu. Mke naye anamuogopa mme wake msomi. Sasa anatafuta furaha kwa houseboy(midfielder) maana HG ni beki3
Tatizo kikokotoo cha nje kinanoga kuliko cha ndani...ongezeni kaufundi vikokotoo vya ndaniUjasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.
Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.
Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
Shemeji kulikoni?Ujasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.
Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.
Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109]Huu ujasir ni kwa walev wasio na hofu ya Mungu.
Unaachaje familia aisee
Sent using Jamii Forums mobile app