Wanaume hebu mkae vizuri

Kwani huyo aliyetanua ndo alikua amekubeba au ulibebwa na haisi?

Acha wivu kama unataka nawewe ota mbupu
 
Pole sana...
Huyo si amejitanua kwenye daladala mpaka kero...

Next time wewe chukua Uber, ujichanue mpaka raha...


Cc: mahondaw
 

Wacha pum.bu zipate hewa
Kama wao wanavyofunguliaga kufuli mara nyingine
 
Duh!kweli wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika. Kila siku mnatulaumu mara sperms zinanuka,mara tuna ukirutu yaani.....
 
Ungemwambia tu live sasa humu ujumbe hujafika
 
Huko ndio kukaa vizuri.. Mtu unajiachia unaburudika. Sema wewe ulipaswa kusema *tukae vibaya ili sote tutoshe* 🙂
 
Bila shaka huyo ana kitambi kikubwa.
 
 
mbona mna sema wanaume we huyo jamaa ungmwambia tu yeye....nimepanda daladala limama moja limejitanua halina habari tena laonekana vivu halitaki kukaa vizuri kuachia nafasi tukae....nililimaindi nkaazisha maongezi mwisho wa siku tukashuka nkachukua namba ...kesho yake likaja geto nkagegeda.....tena bonge la mtu... wanawake wengine muache kutanua miguu kwenye daladala
 
Pole Cajojo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…