Wanaume hebu mkae vizuri

Mimi siwezi kukaa bila kutingisha mguu,napokuwa nafanya hivyo mafaili ya GB nyingi yanatembea kichwani na kufanyiwa kazi kwa speed ya light. Lakini sio muda wote nafanya hivyo. Lakini huwa sitanue miguu.
 
Hii inawahusu wapanda daladala ngoja nipite.
Inamaana hujawahi kupanda daladala?? Halafu mnachekesha nyie hatarii kuwa na gari ndo kusikufanye uache kupata vionjo vya usafiri wetu wa uma au kutembea siku zingine kwa miguu. Nyir ndo wale mlojivimbia kwa obesity
 
Huwa natembea kwa miguu.
 
Vipi mkuu hujawahi ingia kwenye daladala ukakuta jinsia Kama yako wanavyojitanua, ,..!

Ile kipindi ni student alaf usafir wa umma umetwaliwa na Hiace.
Unakaa pale kwa Bunsen-Burner alafu kuna sister amekaa seat ya Samahani_Naomba_Nipite alafu ameachia miguu.
 
Tumetoka mbali. Pale sasa kwenye hyo bunsen burner ndo mnajitanua vzr sasa hamjali kuna wengine wamesimama
 
Hakuna kipind nakipenda kama kitikisa miguu hasa pale issue zangu nilizopanga zkikaa kwenye mstari hata kama nipo na boss
 
Pengine huyo ni mwanamme wa Dar, alikuwa anajipanua miguu makusudi tu ili umtie kidole....si unawajuwa wanaume wa huko walivyo? Ila Cajojo inaelekea wewe ni mwanamke wa shoka, yaani unatia nyege hata mashoga wa Dar, aisee unatisha.
 
Tunapenda tuwapakate ila tunashindwaga kuwaambia
 
Yani bora uwaambie hata Wakati wanapanda sijui huwa wanaangali juu wanakanyaga miguu ya watu km hawaoni na miviatu yao mikubwa&michafu
Acha kuweka chumvi

Umezoea viatu vya mme wako vichafu bas una generalize
 
Achana
 
Pengine huyo ni mwanamme wa Dar, alikuwa anajipanua miguu makusudi tu ili umtie kidole....si unawajuwa wanaume wa huko walivyo? Ila Cajojo inaelekea wewe ni mwanamke wa shoka, yaani unatia nyege hata mashoga wa Dar, aisee unatisha.
Mhhhhhh acha zako
 
Hakuna kipind nakipenda kama kitikisa miguu hasa pale issue zangu nilizopanga zkikaa kwenye mstari hata kama nipo na boss
Sasa bora uitikise ukiwa peke ako na sio kwenye siti mmebanana unakuwa unamgonga gonga jirani yako aaaaaggghhhhhh
 
Nakimgonga gonga jirani hasa akiwa wa kike ujue nimeliamsha dude
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…