Wanaume hebu mkae vizuri

mabinti wakijitanua hudai wanaziacha zipunge upepo....labda na hao ME nao wanataka zakwao zijitawanye sawia kabisa.
 
Kwani tukitingisha tingisha mguu wewe ndio unasisimka au??
 
Mwanaume kujitanua kubana bana hiyo ni huruka ya kike. Tena bora huyo, mi ungekaa wowowo moja au ungeshika bomba. kero za hayo makalio yenu ya kichina nani anataka!
 
Nyinyi ndio mnaongoza hasa wanawake mabonge yani hawa ndio wanakuwaga kero mkikaanae siti moja usije thubutu kukaa nae kama unasafa marefu utateseka mtu anataka akae kiti kimoja na nusu
 
Watu wengine was ajabu kweli ultimately shindwa kumwambia mhusika halafu limekaaa linakukeleketa ukaona uje umalizie hasira huku we nae ni MTU wa ajabu kweli ukaaji mbaya Mbona hata wanawake wengi tu wanakaa ovyo!
Na wewe ni wa ajabu tuu kama maajabu mengine. Kuna limits za kutoa mawazo yako? Ni kero ngapi zinaletwa humu watu wanachangia ingekua kama ni kumaliza huko huko basi hii jamii forums mahusino isingekuwepo. Peleka njaa zako huko
 
mabinti wakijitanua hudai wanaziacha zipunge upepo....labda na hao ME nao wanataka zakwao zijitawanye sawia kabisa.
Wakati mmezibana wenyewe kwenye boxer
 
Ahahhahaa hahahahaa mimi ni mhenga kukuzidi mkuu sasa hao mashangazi na mimi ni mmoja wao tunakerwa na tabia za kukaa mmejitanua hasa sehemu ambazo zinahitaji kukaa wawili au watatu.
 
Kwani tukitingisha tingisha mguu wewe ndio unasisimka au??
Bora ningesisimkwa aisee wala nisingekuja kujadili humu. Hyo ni kerooo mnoo unakuta mtu anapanua miguu na kujibamiza pumbu sasa sijui anakua anajikuna au??
 
Mwanaume kujitanua kubana bana hiyo ni huruka ya kike. Tena bora huyo, mi ungekaa wowowo moja au ungeshika bomba. kero za hayo makalio yenu ya kichina nani anataka!
Wewe hakika ndo yule mwenye tabia mbaya niisemayo hapa.
 
Tubake kwani siye tuna expansion joint kama nyie????

Nyie hizo rift valley zenu zinatoa magma ndiyo maana mnabana mkiachia ule moshi huko kwa bonde la ufa unafanya uchafuzi wa hali ya hewa..!
 
Tubake kwani siye tuna expansion joint kama nyie????

Nyie hizo rift valley zenu zinatoa magma ndiyo maana mnabana mkiachia ule moshi huko kwa bonde la ufa unafanya uchafuzi wa hali ya hewa..!
Mi nimeongelea kubaka hapa??
 
Hii inawahusu wapanda daladala ngoja nipite.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…