Wanaume hebu mkae vizuri

unaangalia upande wetu tu... na nyinyi mnavyovaa vigauni vyenu makwapa wazi halaf mkishikilia bomba mnajiachia tu bila kujali aliye karibu yako anapata tabu kiasi gani... umeliangalia hilo..!!!
Sasa na ww si utuanzishie thread?
 
Mkao wa ki,soja muda wote tuko te,tion
 
Hahahahaha dadadeekii
 
Halafu kabebezana nayo tuuu kila mahali, nadhani anaogopa akiiacha ataibiwa
Sasa ndo shida inaanzia hapo kutubana wenzie kwenye daladala​
 
Watu wengine was ajabu kweli ultimately shindwa kumwambia mhusika halafu limekaaa linakukeleketa ukaona uje umalizie hasira huku we nae ni MTU wa ajabu kweli ukaaji mbaya Mbona hata wanawake wengi tu wanakaa ovyo!
 
Watu wengine was ajabu kweli ume shindwa kumwambia mhusika halafu limekaaa linakukeleketa ukaona uje umalizie hasira huku we nae ni MTU wa ajabu kweli ukaaji mbaya Mbona hata wanawake wengi tu wanakaa ovyo!
 
Halafu kabebezana nayo tuuu kila mahali, nadhani anaogopa akiiacha ataibiwa
Hivi nyie mnaotukashifu humu, bibi giggy money wenu huwa mnawaacha nyumbani?
 
Hiyo tunaita "Manspreading" ni tatizo kubwa kwenye usafiri wa Umma.
 

Attachments

  • IMG_20180205_160556_927.JPG
    53.2 KB · Views: 41
Wakae vizuri tu sijui huwa wana maana gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…