Wanaume hawatabiriki

Wanaume hawatabiriki

teelyz

Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
45
Reaction score
44
One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,
unaweza kukutana na mwanaume leo ukalala naye kesho na bado atakuheshimu na kukupenda kwa kipindi chote cha mahusiano lakini pia unaweza kumfanya asubiri hata baada ya miezi au mwaka ndo mshiriki tendo la kikubwa na badaada ya hapo akakudharau na kupunguza upendo,

Unaweza ukawa mrembo na unavutia na bado asikupende akampenda mtu ambaye wewe unaona kabisa umemzidi,
Mwanaume anaweza akawa anatamaa na watu wenye maumbo yakuvutia lakini anayempenda kwa dhati ni yule ambaye mwembamba kama mimi

Mwanaume hatabiriki so mwanamke mwenzangu just love and have confidence on yourself,Mwanaume akikupenda atakuheshinu haijalisha mmekutana mazingira gani
***PEACE PEOPLE***

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yamekukuta? Mzee wa watu pole...unaongelea wanaume na sio mwanaume,katika wingi sifa zinazidi kwenye umoja znapungua ila mwanaume ni mwanaume
 
One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,
unaweza kukutana na mwanaume leo ukalala naye kesho na bado atakuheshimu na kukupenda kwa kipindi chote cha mahusiano lakini pia unaweza kumfanya asubiri hata baada ya miezi au mwaka ndo mshiriki tendo la kikubwa na badaada ya hapo akakudharau na kupunguza upendo,
Unaweza ukawa mrembo na unavutia na bado asikupende akampenda mtu ambaye wewe unaona kabisa umemzidi,
Mwanaume anaweza akawa anatamaa na watu wenye maumbo yakuvutia lakini anayempenda kwa dhati ni yule ambaye mwembamba kama mimi
Mwanaume hatabiriki so mwanamke mwenzangu just love and have confidence on yourself,Mwanaume akikupenda atakuheshinu haijalisha mmekutana mazingira gani
***PEACE PEOPLE***

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hamna shida yoyote hapo?Au mlipenda iweje?Kwamba ukimbania mwaka mzima ndio akuoe?

Mimi naongezea tuu, hata ukibambikiza ujauzito ndoa unaweza ukaikosa pia.
 
Angalau leo umezungumzia kujiamini, somo lililopita limeingia vizuri.

Please, can you share the updates on your last time thread?
 
Back
Top Bottom