Umenena vyema
hahahaa,,ile thread yake ile alijishusha sana aiseAngalau leo umezungumzia kujiamini, somo lililopita limeingia vizuri.
Please, can you share the updates on your last time thread?
hahahaa,,ile thread yake ile alijisAngalau leo umezungumzia kujiamini, somo lililopita limeingia vizuri.
Please, can you share the updates on your last time thread?
jicho
MKUU,One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,
unaweza kukutana na mwanaume leo ukalala naye kesho na bado atakuheshimu na kukupenda kwa kipindi chote cha mahusiano lakini pia unaweza kumfanya asubiri hata baada ya miezi au mwaka ndo mshiriki tendo la kikubwa na badaada ya hapo akakudharau na kupunguza upendo,
Unaweza ukawa mrembo na unavutia na bado asikupende akampenda mtu ambaye wewe unaona kabisa umemzidi,
Mwanaume anaweza akawa anatamaa na watu wenye maumbo yakuvutia lakini anayempenda kwa dhati ni yule ambaye mwembamba kama mimi
Mwanaume hatabiriki so mwanamke mwenzangu just love and have confidence on yourself,Mwanaume akikupenda atakuheshinu haijalisha mmekutana mazingira gani
***PEACE PEOPLE***
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure naunga mkono hoja 100%One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,
unaweza kukutana na mwanaume leo ukalala naye kesho na bado atakuheshimu na kukupenda kwa kipindi chote cha mahusiano lakini pia unaweza kumfanya asubiri hata baada ya miezi au mwaka ndo mshiriki tendo la kikubwa na badaada ya hapo akakudharau na kupunguza upendo,
Unaweza ukawa mrembo na unavutia na bado asikupende akampenda mtu ambaye wewe unaona kabisa umemzidi,
Mwanaume anaweza akawa anatamaa na watu wenye maumbo yakuvutia lakini anayempenda kwa dhati ni yule ambaye mwembamba kama mimi
Mwanaume hatabiriki so mwanamke mwenzangu just love and have confidence on yourself,Mwanaume akikupenda atakuheshinu haijalisha mmekutana mazingira gani
***PEACE PEOPLE***
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi hua tunatamani na hata tukishapenda bado hatuachi kuendelea kutamani kwa maana kutamani ndio uanaume wenyewe.
Wewe mwanamke utaenda mbinguni. You see things in a bigger picture, naweza kusema hakika wewe unawajua wanaume.One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,