Wanaume hawapendi wanawake wa aina hii

haya ila me napenda nikiudhiwa niongeee hadi hasira iishe... au ukubali nikutwange ngumi tatu za nguvu
 

Hahhahaaaaa subiri mashambulizi kaka
 
Aisee sipendi mwanamke wa hivyo!!! kwa kweli sipendi....shida inakuja pale mnapokuwa marafiki, tabia hizo wanazificha.Akiisha olewa ndio namba utaisoma.,ndio pale unakuta mwanaume anapita bar kila siku ili arudi home usiku.yote ni kukwepa kelele
 
wanaume hatupendi pia iyo sentensi yako apo chini considering magogoni yupo aliiseleeemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…