Hahaha unarusha teke na ngumi sijui huwa wanenda geto kufanyaje maana ukifika hutaki kuguswa
Je, hakuna watu waliowaua wenzao halafu wao wakafa kwa ugonjwa?Ukiuwa mtu nawe utakufa kwa mkono wa mtu. Unaweza kuua mtu kwa risasi wewe ukauawa kwa sumu dhana ni ile ile. Kingine ni uchunguzi usio rasmi, angali wanaume wengi tombatomba wanaofurahia kuzibua binti za watu, wanakwaga na firsborn wa kike ili karma iwarudishie matendo yao.
Kama nani?Je, hakuna watu waliowaua wenzao halafu wao wakafa kwa ugonjwa?
Wengi tu. Kama babu yangu.Kama nani?