Wanaume hawa wanatingisha nini?

Wanaume hawa wanatingisha nini?

Natoka zangu peramiho narudi town,kwenye hii coaster unapigwa wimbo wa taarabu.

Mwimbaji anaimba 'tingisha bodii,eh tingisha wezere'

Sasa Nauliza wale wanaume wanaoenda kwnye taarabu concerts,ukipigwa huo wimbo huwa nanyi mnatingisha nini?

Ndio maana badala ya kumwambia konda unashukia Likuyufusi wewe ukaendelea hadi Lizabon kwa vile huo wimbo wa kutingisha ulikusahaulisha kituo ukapitiliza hadi Luhuwiko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom