Wanaume hawa hawafai.

1.Anakula hotelini vyakula vyenye afya familia inakula ugali kila siku.

2.Anakunywa vinywaji vizuri baridi watoto wanakunywa maji hajali.

3.Anavaa nguo nzuri za bei wanafamilia wanavaa masulupwete.

4.Anashinda kwenye banda la tv mechi nyumbani wanaangalia kuku na mipunda inakimbizana.

5.Siku akila nyumbani anapikiwa ubwabwa peke yake watoto wanachungulia kwenye mstari wa mlango.

6...................

Endeleza mengine.
Hakuna mwanaume anayeweza kufanya hivi labda awe mwehu,,,nawew kwanin uolewe na mwehu?
 
Mkuu,umenikumbusha jamaa mmoja niliona Kitambulisho chake anaitwa MZIGOWAPUMBU MASULUPWETE!

Hii dunia ina vituko mnooo!
 
kuna wanawake wapo kwenye ndoa lakin kuishi kwao wanalea watoto kwa shida hawana tofauti na sie tuliopo nje uku,,ety kutunza heshima ya kuolewa,,,, Mungu awasaidie🙏🏾
Single mother wengi sana wanaongoza kwa kuwa na maisha magumu kuliko wanawake walioolewa, msijipe moyo
 
Single mother wengi sana wanaongoza kwa kuwa na maisha magumu kuliko wanawake walioolewa, msijipe moyo
😄😄Labda sjaelewa ugumu upi wa maisha unaosemea,,ebu ongeeni uhalisia bwan acheni kuongea muhim tu mtuseme sie.
 
😄😄Labda sjaelewa ugumu upi wa maisha unaosemea,,ebu ongeeni uhalisia bwan acheni kuongea muhim tu mtuseme sie.
Wewe ndo umeongea ujinga ili ujiskie vizuri na hali yako potovu ya kuwa single mother
 
Natafuta single mama awe mwelewa na mtulivu awe anashughuli zake, asiwe aliyebweteka, awe anajiheshimu, cha zaidi tuwe tunapeana ushauri zaidi, jinsi ya kukabili maisha haya, nasisitiza ajiheshimu asipende makuu, karibu pm!
Ms R, hi mummy!
 
Hao wa design hiyo washapoteza sifa za uanaume.

Mwanaume wa kweli anahakikisha nyumbani kupo sawa kabla kwenda kutanua nje.
 
1.Anakula hotelini vyakula vyenye afya familia inakula ugali kila siku.

2.Anakunywa vinywaji vizuri baridi watoto wanakunywa maji hajali.

3.Anavaa nguo nzuri za bei wanafamilia wanavaa masulupwete.

4.Anashinda kwenye banda la tv mechi nyumbani wanaangalia kuku na mipunda inakimbizana.

5.Siku akila nyumbani anapikiwa ubwabwa peke yake watoto wanachungulia kwenye mstari wa mlango.

6...................

Endeleza mengine.
Vitu vizuri vimejificha kwenye ubaya.So usifadhaike,hapo anawaimarisha.Usitamani bia/whisky yake,we furahia maji yako unayokunywa.Usivutiwe na vibanda Tv/ vibanda umiza anavyoshinda huko, furahia huo ubize kwenye mabanda ya kuku anakotaka muwe na vibustanini.Hujapoteza usiumie.Utakuja kushukuru
 
Hao wa design hiyo washapoteza sifa za uanaume.

Mwanaume wa kweli anahakikisha nyumbani kupo sawa kabla kwenda kutanua nje.
Endapo kama unaacha fedha ya kutosha let say 15000/- and then ukirudi unakuta madude ya ajabu, na unakuwa imechoka kupiga kelele hutaki umekwisha mueleza hilo haelewi, why not nisiende kumtembelea rafiki, kumbe naenda kupata menu pendwa?, au utanilaumuje nisiwe na nyumba ndogo?, shida wanawake wakisha olewa, wanaona wamepata tickets ya kukunyanyasa na kukuamulia, huo ndio ujinga wao hasa ukishazaa naye!
 
Kuna wanaume wanaacha hela yote home, wanaondoka na nauli tu, hawajui watakula nini huko kazini, hata hawana uhakika wa kupata kibarua huko wanakoenda.

Wanaume shupavu wapo, wanaojali familia zao regardless ya vipato vyao wapo sana tu. Sema watu wanaona isiwe tabu, cha kufia nini wakati huyo unayemhudumia hana heshima, adabu wala hajali. Ngoja tu watu waishi wanavyoona.
 
Back
Top Bottom