Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,095
- 1,465
1.Anakula hotelini vyakula vyenye afya familia inakula ugali kila siku.
2.Anakunywa vinywaji vizuri baridi watoto wanakunywa maji hajali.
3.Anavaa nguo nzuri za bei wanafamilia wanavaa masulupwete.
4.Anashinda kwenye banda la tv mechi nyumbani wanaangalia kuku na mipunda inakimbizana.
5.Siku akila nyumbani anapikiwa ubwabwa peke yake watoto wanachungulia kwenye mstari wa mlango.
6...................
Endeleza mengine.