Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,977
kuna usemi wanasema, Mwanaume usisubutu kuowa mwanamke anayekuzidi kipatoNdio maana Adam yalimshinda akaomba Mungu ampe msaidizi Eva..
Vipi akija kukuzidi kipato mkiwa tayari ndani ya ndoa?kuna usemi wanasema, Mwanaume usisubutu kuowa mwanamke anayekuzidi kipato
hapo sasa, sijui unamloga !!
hapo sasa, sijui unamloga !!
Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli.
Chukua chuma icho.
Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.
Apo ndo shuhuli inaanza.lazma mwanaume useme.
[emoji2][emoji2][emoji2] Shida ya pesa ina tabia ya kumbadilisha mtu na ndio mabalaa huanzia hapo.Apo ndo shuhuli inaanza.lazma mwanaume useme.
habari ndoiyo kiongoziKumbe πππ
Angalizo muongee haya mkiwa hamna upwiru , ukiwa nao unakuwa mnyenyekevu sanaPamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli.
Chukua chuma icho.
Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.