Wanaume hatutabiriki

Wanawake msishauke mkangoja zali la mentali,ukiona mwanamke amezawadiwa ndege ujue na yeye ana uwezo wa kuimiliki hiyo ndege bila kuhongwa.Mzungu sio mwehu pesa inaenda kwenye pesa.
 
Mbaya zaidi baada ya miezi 6 unasikia amegongwa na best yako kwa zawadi ya iPhone tu na mdoli!

Ati wewe haukuwa romantic mtu ulielipa usd 15M kununua privat jet ya siku yake ya birthday wakati uko busy na majukumu ya ku replace $ zako.
Mdoli jaman
 
Mimi binafisi hao wenye mashepu nawapenda kwa matumizi tu ila wenye shape za huyo dada ndy wa kuoa sasa
 
Back
Top Bottom