Wanaume hatutabiriki

Mbaya zaidi baada ya miezi 6 unasikia amegongwa na best yako kwa zawadi ya iPhone tu na mdoli!

Ati wewe haukuwa romantic mtu ulielipa usd 15M kununua privat jet ya siku yake ya birthday😅 wakati uko busy na majukumu ya ku replace $ zako.
 
Mbaya zaidi baada ya miezi 6 unasikia amegongwa na best yako kwa zawadi ya iPhone tu na mdoli!

Ati wewe haukuwa romantic mtu ulielipa usd 15M kununua privat jet ya siku yake ya birthday[emoji28] wakati uko busy na majukumu ya ku replace $ zako.
Dawa usiwekeze Sana kwa Wanawake,hiyo pesa nyingi nenda kawekeze kwa Kukutunza watoto yatima, Familia yako, Wazazi wako, Wagonjwa mahospitalini,n.k.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nimekuwa inspired ngoja namimi nimfanyie hivyo demu wangu

Namchukua mpaka pale julius nyerere airport akiwa na kitambaa usoni afu namfungua anakutana na twiga wa ATCL
 
Haya maisha haya wengine wanaonga elfu hamsini hapo roho inauma kichizi


Wengine 5000 ya nauli na demu hatokei


Wengine wakisikia message my nikwambie kitu wanazima simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na nyie niwape onyo😁 simumeona mwenzenu kapewa jet , kigamboni nawasilimia mtajikuta hampo. Nimehonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…