Wanaume hatuoi ujinga

Bado hajatokea machoni mwangu nahisi hajazaliwa kabisaaa, wanaume wenyewe wako wapi dunia hii?
Hapo sikubaliani napo kuwa hujaolewa sawa ila huna mwanaume na hujaona unaempenda hili sikubaliani nalo ina maana haujaguswa ipo nzima hali leo na duniani ukimkataa huyu utapigwa saund na yule utaingia tubkwenye penalty box
 
Kama hukubali sikulazimishi na polisi sikupeleki, pia usiwe na fikra kua kila msichana atakua teyari.
 
Kama hukubali sikulazimishi na polisi sikupeleki, pia usiwe na fikra kua kila msichana atakua teyari.
Aysher wewe ndio unajua kila kitu ila ungepita anga zangu sound ingewin tu si unajua sisi ni maprofesa wa kusomesha ..... mm napita tu
 
uzi mzuri STUNTER . kuna ukweli mkubwa ndani ya hili. nashangaa Lady aJ umechachamalia kutetea ujinga.maziwa na makalio sio vitu vya kuonyesha hovyo kila mtu aone.hivyo vitu ni faragha,sasa kama wewe uliolewa pamoja nakuwa unavaa hovyo usipotoshe wengine.ndiyo samataimu utabahatika kupata mwanaume atakae kurekebisha. nikuulize swali moja.kama kweli kuvaa kwa kuonyesha matiti na matako ni sawa je unaweza kwenda kwa wakwe zako ukiwa umevaa hivyo? ukiweza kujijibu hapo mwanamke naamini jibu la uzi huu utakuwa nalo
 
Wakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?

Wanaume wanaotaka kuwagegeda na kuwaacha watasema unavaa kishamba.

Mwanaume mwenye lengo na wewe hawezi kukwambia umevaa kishamba.

Jueni kutofautisha wanaume.
 
Wanaume wanaotaka kuwagegeda na kuwaacha watasema unavaa kishamba.

Mwanaume mwenye lengo na wewe hawezi kukwambia umevaa kishamba.

Jueni kutofautisha wanaume.
Na walivyo waongo na tamaa zimewajaa sijui tutawajuaje aisee.
 
omba mungu akupe mume mwema na wewe pia jitahidi kuwa na tabia njema,

ila ukiwa machepele tagemea kupata machepele mwenzako,
No machepele hapati machepele mwenzie na mwema hapati mwema mwenzie, ingekua hivyo ndoa zisingekua na migogoro.
 
That's why nakuelewa huwa unasimamia ukweli
 
Wachaaaaache ndo watakuelewa
 
Kuna wanaume wachache wajinga pia. Wangalipo. Ila sie wengine, hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…