Afu kweli... Wao ndo wanawaharibu wadada. Utakuta msichana anavaa nguo za heshima Ila mkaka kutaka misifa tu kwa wenzake anamshauri avae pushup braz na tight clothes eti aonekane ana demu sexy. Wavaa madelq wanaonekana old fashioned. Nyie ndo vyanzo vya yote hata.Wakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?
suala la ndoa halijawahi na halitowahi kuwa jepesi wakuu.....kuchagua mwenzi wa maisha inabidi mtu atulie ati! na mie nadhan hilo pande zote wanalijua hili ni maisha na shida za ulimwengu huu zilizoleta haya yote
Mnafanya ujinga alafu mnasingizia Shida, Endeleeni tu,suala la ndoa halijawahi na halitowahi kuwa jepesi wakuu.....kuchagua mwenzi wa maisha inabidi mtu atulie ati! na mie nadhan hilo pande zote wanalijua hili ni maisha na shida za ulimwengu huu zilizoleta haya yote
Labda uamue usioe kabisaa, maana umdhaniae Sie kumbe ndie,Mnafanya ujinga alafu mnasingizia Shida, Endeleeni tu,
Hata hao walio oa ujinga pia hawakutaka kuoa ujinga.Sio kudhani, Bali ushahidi upo dhahiri na unaonekana.... Ujinga haujifichi
Mi sio mbishi na wala sijaolewa, nami pia sitaki kuolewa.Afu wee mbishi sana, kwani umeolewa???
..Asante kwa Kusisitiza kwa Elufi kubwa mkuu,..ππππNARUDIA TENA>>>>>> HATUOI UJINGA
...nahisi kama mkatamajani wake vile,..."Women with beauty and no brains, it is your private parts that will suffer the most."
hayo ni maneno ya mzee Mugabe
..namaanisha hiyo Quotation ni ya Mkata Majani wa Mugabe mkuu!..C unajua watu wote waliokaribu n.a. Mugabe ni Philosophers?cjakuelewa br,
Sijaona bado wa kunioa na hakuna mwanaume yeyote anaeweza nnchezea.na uzuri wote huo hutaki kuolewa?
au unataka kuchezewa?
Yaani mimi ugonjwa wangu ndo huo. Binti akizama kwenye Dera, kudadadeki nafika beiWakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?
Mmmh mkuu huko wanakooga wake kwa waume pamoja ina maana hata hizo vocha hazifunikwi mkuumkuu. Unacho ongea nu ukweli kabisa, nilitembelea mikoa kadha wa kadha nilijionea Maajabu ya Mussa.
Hasa mkoa wa Tanga na Ukerewe, wanawake na wanaume uoga na utazamana Bila taabu kabisa.
Sasa wewe mgeni ukipita hapo wala hawatikisiki kabisa, wewe ndiyo utaanza kujichanganya kutazama na kuwaka tamaa, wenyeji hawana Time maana kwao wameshazoea.
Hivi ulishawahi kujiuliza kama mimi ninavyojiuliza! Kwa namna tunavyosoma vitabu vya dini na historia zake (dini zote), tunaaminishwa ya kuwa wanawake walikuwa wanavaa nguo za kuwafunika sana, yaani hata kuuona upaja hauwezi (ukiacha wale malaya waliokuwa wanaelezewa namna wanavyovaa na kusimama njia panda kujiuza, japo haielezewi wanavaa nusu uchi, ila manukato yao kwa sana), wenyewe waliwajua.
Sasa kwa utangulizi huo hapo juu, utapata picha ya kuwa, wanaume tumeumbwa kutamani kwanza na kupenda kunafuatia.
Sasa ninachojiuliza ni, pale Yesu, alipowaambia enzi hizo wafuasi na wengine wale '....... Bali yeyote amtazamaye mwanamke na kumtamani, ameshazini naye....' Mathayo 5:27-28
hebu oneni sasa namna gani kutamani kulivyo, yaani hata avae dela zito ama baibui zito, bado tu wanaume kutamani kunaanza kwanza, maana usipomuoa shepu, utamuona sura ama nywele, na ndiyo maana wanawake wameambiwa wajisitiri na hata nywele wasiziache wazi.
Hivi miaka ile kulikuwa na vimini kweli?! Hapo unapata picha pana, na ndiyo maana hadi leo vitabu vitakatifu vina nguvu bado.
Hivyo narudia tena, mkiamua kuoana, muangalie vipaumbele vyenu kwanza kabla hamjaingia kwenye taasisi hiyo.
Ahsante!