Ni kweli, lakini
1. Unapozungumzia njia za matangazo zisizo rasmi nayo ni shida.....
2. Unatangaza kwa njia inayoondoa uwezekano wa kuolewa ni shida
3. Unatangaza kwa njia ya kutia watu ashki lakini si kuolewa ni shida
mtu anayetaka kuolewa namna yake yan kujitangaza ni hii
1. Ucha Mungu
2. Heshima kwa binadamu wenzio
3. Kuthamini maisha ya wenzio na mali zao
4. Tabia njema
5. Kupenda positive maendeleo...
Naweka msumari wa mwisho kuwa hatuoi ujinga😎😎😎😎NARUDIA TENA>>>>>> HATUOI UJINGA
Kabisa"Women with beauty and no brains, it is your private parts that will suffer the most."
hayo ni maneno ya mzee Mugabe
Ni mwerevu ndio maana najitambua sivai onvyoWe aliyekuoa ni mjinga au ni mwelevu?
Bado hatuoi ujinga sijui kama umemuelewa mtoa maadaKama hukusoma vyote huna haja ya kunijibu sasa wanijumibu kama si ukihele hele wako? Alafu usijitie unajua eti kwenye interview sijui na makorokocho gani huko kila aina ya kazi inawatu wake inaowahitaji kwa kimuonekano wake sio kila kazi inataka waombaji wenye kuvaa mabaibui wengine hawaitaji huo upupu uliouandika, alafu jifunze kumuelewa mtu unaweza ukawa na mwanamke anavaa hadi nikabu lakini ni fuska balaa and ukakutana na bidada anapiga trouser yake fresh then akawa na muaminifu SIKU NYINGINE USIKURUPUKE KUNIJIBU KAMA HUJAMALIZA KUSOMA COMMENT YANGU
Toa mfano tofauti na hao modelsJacquline Ntuyabaliwe, Faraja Nyalandu,Flaviana matata, Modester Mahiga HAWA WOTE TUMEWASHUHUDIA HADHARANI WAKIVAA VICHUPI, WAKIVAA PEDO,WAKIVAA SKIN JEANS,WAKIVAA VIPEDO VITOVU NJE, WAKIVAA MIN SKIRT, NA HATA BIKINI, KWENYE MEDIA NA STEJINI NA HATA MITAANI LAKINI WAMEOLEWA NA LEO HII WANA APPER VILE WAUME ZAO WANAPENDA NA KUTAKA,SO STOP FOOLING UR SELF UTAVAA BAIBUI WEE MPAKA UFANANE NALO RANGI NA NDOA UNAWEZA USIIPATE, U SMART WA MTU UPO AKILINI MWAKE
Kwani hao sio wanawake? Unavyodhani hao matendo yao hayakuwachefua wanaume vihiyo kama hawa wanaoongea Mbofu mbofu? Nikikutajia chakubimbi wa mtaan kwetu utamjua? Mifano hutolewa kwa watu wanaojulikana Modester Mahiga si Model ni mwanamke kama alivyo mwanamke mwingine yeyote TanzaniaToa mfano tofauti na hao models
Only Bright man ndo watajua watazingatia nini kwenye kuchagua mke! Na watafanya nn kuwafanya wake zao au Girlfriend zao waishi sambamba na maadili ayatakayoBado hatuoi ujinga sijui kama umemuelewa mtoa maada
Modester mahiga umeshawahi kuwa na ukaribu nae ata kidogo unajua alipokulia au mbwembwe hahaha hatuoai ujingaKwani hao sio wanawake? Unavyodhani hao matendo yao hayakuwachefua wanaume vihiyo kama hawa wanaoongea Mbofu mbofu? Nikikutajia chakubimbi wa mtaan kwetu utamjua? Mifano hutolewa kwa watu wanaojulikana Modester Mahiga si Model ni mwanamke kama alivyo mwanamke mwingine yeyote Tanzania
Kweli ndio mana ata wewe hukuwai kuanika matiti yako wala nyeti zakoOnly Bright man ndo watajua watazingatia nini kwenye kuchagua mke! Na watafanya nn kuwafanya wake zao au Girlfriend zao waishi sambamba na maadili ayatakayo
Mimi mume wangu alinipenda mwenyewe wala hakupenda nilivyokua nikionekana kwa macho ya wengineKweli ndio mana ata wewe hukuwai kuanika matiti yako wala nyeti zako
Mbwe mbwe za mama yako! Mwanamke shurti awe na mbwembwe mkuu,,Modester nilimfahamu kwa kumuona kama unavyomuona wewe, na ikiwa kumuona kwangu kwenye public ndipo kulipata nguvu ya kujua kuna WANAUME na viwanaume uchwara ambavyo wao suala La kuponda mwanamke ni jambo la kuamua tu kama muanzishaji wa uzi huu hajawahi ona mema ya wanawake katika thread zake karibu zoteModester mahiga umeshawahi kuwa na ukaribu nae ata kidogo unajua alipokulia au mbwembwe hahaha hatuoai ujinga
Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia
moja tu, KUKUMEGA, KUKUCHAPA, na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI, na Sifa zitaishia hapo.
Hakuna mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa mwanamke asiye SIRIAZ. Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mumewe zionwe na kila Mwanaume. Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hizi za Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.
Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni. Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA na sio Muuza mwili.
SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO, Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE... Hatuoi Ujinga!
Kama haukuamua kubadilika basi hata ashushwe malaika gabrieli bado tu utakengeuka, Wanawake wajinga hatuwataki sisiBahati mbaya au nzur wewe bwana Huijui ndoa unajilopokea tu kwa Kudhihaki upande wa wanawake ndoa ni zaidi ya mavazi/kujisitiri kwa mtu! Hakuna aliyezaliwa yuko timamu wengi hujifunza kutokana na mahitaji na mienendo ya watu wetu wa karibu na tunaowapenda, binafsi nililelewa kwa Uhuru wa kuvaa ila nilipompata mwenza wangu niligundua kuna vitu hapend nivae na alikuwa muwazi wa kunionyesha kwa vitendo, anakupeleka dukan kila ukichagua vazi lililokinyume na yeye anakataa analiponda kuwa hupendez, kwa kuwa mwanamke anataka kusifiwa na mumewe bila shaka siku hadi siku atakua anavaa vile ambavyo mpenziwe husema amependeza !! La muhimu usimuoe mwanamke mwenye tabia za hovyo japo anajisitiri mpaka ukucha! Usioe mwanamke mbishii,asiye mtii,mwenye kiburi visasi na chuki! Eti kisa ni mzuri au anavaa mavazi uliyoyaandika hapo
Ndoa ni zaidi ya unavyoona wewe, ukimpenda mtu mlete karibu chukua nafasi ya kum shape aendane na matakwa yako, mke au mume mzuri (mwema)hutengenezwa na sio hushushwa vile alivyo
Bidhaa zinazobakia sokoni kwa muda mrefu bila kununulia ujue ni mbovuuuu, Bidhaa nzima huzikuti zikidhalilika,mnaoa sana tu ndo maana huo ujinga hauishi! bidhaa isiyo na soko hutiweka sokoni ila kwa hili wanaoa tena mno! ni kama madawa ya kulevya yanatumika ndo maana hayaishi sokoni