Japo sijasoma vyote ulivoandika ila weka kichwani kuanzia leo,Bahati mbaya au nzur wewe bwana Huijui ndoa unajilopokea tu kwa Kudhihaki upande wa wanawake ndoa ni zaidi ya mavazi/kujisitiri kwa mtu! Hakuna aliyezaliwa yuko timamu wengi hujifunza kutokana na mahitaji na mienendo ya watu wetu wa karibu na tunaowapenda, binafsi nililelewa kwa Uhuru wa kuvaa ila nilipompata mwenza wangu niligundua kuna vitu hapend nivae na alikuwa muwazi wa kunionyesha kwa vitendo, anakupeleka dukan kila ukichagua vazi lililokinyume na yeye anakataa analiponda kuwa hupendez, kwa kuwa mwanamke anataka kusifiwa na mumewe bila shaka siku hadi siku atakua anavaa vile ambavyo mpenziwe husema amependeza !! La muhimu usimuoe mwanamke mwenye tabia za hovyo japo anajisitiri mpaka ukucha! Usioe mwanamke mbishii,asiye mtii,mwenye kiburi visasi na chuki! Eti kisa ni mzuri au anavaa mavazi uliyoyaandika hapo
Ndoa ni zaidi ya unavyoona wewe, ukimpenda mtu mlete karibu chukua nafasi ya kum shape aendane na matakwa yako, mke au mume mzuri (mwema)hutengenezwa na sio hushushwa vile alivyo
Na hospital je mbona huwa hazitangazi huduma zakeKuna biashara supplier ni mmoja, huna haja ya kutangaza... eg. TANESCO
Kama hukusoma vyote huna haja ya kunijibu sasa wanijumibu kama si ukihele hele wako? Alafu usijitie unajua eti kwenye interview sijui na makorokocho gani huko kila aina ya kazi inawatu wake inaowahitaji kwa kimuonekano wake sio kila kazi inataka waombaji wenye kuvaa mabaibui wengine hawaitaji huo upupu uliouandika, alafu jifunze kumuelewa mtu unaweza ukawa na mwanamke anavaa hadi nikabu lakini ni fuska balaa and ukakutana na bidada anapiga trouser yake fresh then akawa na muaminifu SIKU NYINGINE USIKURUPUKE KUNIJIBU KAMA HUJAMALIZA KUSOMA COMMENT YANGUJapo sijasoma vyote ulivoandika ila weka kichwani kuanzia leo,
ukiona mwanamke anavaa vibaya au anaacha sehem za mwili nje ujue kichwani kwake hamna kitu ni sawa na uvae vibaya siku ya interview ujue hapo kazi hutopata kozi mtu akikuangalia kwa mara ya kwanza anajua kichwani kwako kukoje. Vivyo hivo kwa mwanaume pia.
Ndio maana mbayaKama hukusoma vyote huna haja ya kunijibu sasa wanijumibu kama si ukihele hele wako? Alafu usijitie unajua eti kwenye interview sijui na makorokocho gani huko kila aina ya kazi inawatu wake inaowahitaji kwa kimuonekano wake sio kila kazi inataka waombaji wenye kuvaa mabaibui wengine hawaitaji huo upupu uliouandika, alafu jifunze kumuelewa mtu unaweza ukawa na mwanamke anavaa hadi nikabu lakini ni fuska balaa and ukakutana na bidada anapiga trouser yake fresh then akawa na muaminifu SIKU NYINGINE USIKURUPUKE KUNIJIBU KAMA HUJAMALIZA KUSOMA COMMENT YANGU
Tanga sehemu gani huko tukatalii??mkuu. Unacho ongea nu ukweli kabisa, nilitembelea mikoa kadha wa kadha nilijionea Maajabu ya Mussa.
Hasa mkoa wa Tanga na Ukerewe, wanawake na wanaume uoga na utazamana Bila taabu kabisa.
Sasa wewe mgeni ukipita hapo wala hawatikisiki kabisa, wewe ndiyo utaanza kujichanganya kutazama na kuwaka tamaa, wenyeji hawana Time maana kwao wameshazoea.
Mbaya lakini nishaolewa hivyoo! Wewe uliyemzuri umeolewa na nani? Si unaishia kumanuliwa tuNdio maana mbaya
Wanaume wanatofautiana. Kuna wajinga na werevu mi nadhani iyekuoa ni mjingaMbaya lakini nishaolewa hivyoo! Wewe uliyemzuri umeolewa na nani? Si unaishia kumanuliwa tu
We aliyekuoa ni mjinga au ni mwelevu?Wanaume wanatofautiana. Kuna wajinga na werevu mi nadhani iyekuoa ni mjinga
Bado hujaelewa madaWakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?
Kuna biashara supplier ni mmoja, huna haja ya kutangaza... eg. TANESCO
Jacquline Ntuyabaliwe, Faraja Nyalandu,Flaviana matata, Modester Mahiga HAWA WOTE TUMEWASHUHUDIA HADHARANI WAKIVAA VICHUPI, WAKIVAA PEDO,WAKIVAA SKIN JEANS,WAKIVAA VIPEDO VITOVU NJE, WAKIVAA MIN SKIRT, NA HATA BIKINI, KWENYE MEDIA NA STEJINI NA HATA MITAANI LAKINI WAMEOLEWA NA LEO HII WANA APPER VILE WAUME ZAO WANAPENDA NA KUTAKA,SO STOP FOOLING UR SELF UTAVAA BAIBUI WEE MPAKA UFANANE NALO RANGI NA NDOA UNAWEZA USIIPATE, U SMART WA MTU UPO AKILINI MWAKEMwe,ngoja nikaongeze madera,sketi charanga,hijabu na shungi.asante mkuu nimekuelewa.HAMUOI UJINGA.
Ni kweli, lakiniHahaaaa..., hapo unazungumzia monopolism.., ila biashara iliyotajwa hapo juu ni tofauti!
Ahahahahaahah dah... WALLAH TENAA si mchezo...Jacquline Ntuyabaliwe, Faraja Nyalandu,Flaviana matata, Modester Mahiga HAWA WOTE TUMEWASHUHUDIA HADHARANI WAKIVAA VICHUPI, WAKIVAA PEDO,WAKIVAA SKIN JEANS,WAKIVAA VIPEDO VITOVU NJE, WAKIVAA MIN SKIRT, NA HATA BIKINI, KWENYE MEDIA NA STEJINI NA HATA MITAANI LAKINI WAMEOLEWA NA LEO HII WANA APPER VILE WAUME ZAO WANAPENDA NA KUTAKA,SO STOP FOOLING UR SELF UTAVAA BAIBUI WEE MPAKA UFANANE NALO RANGI NA NDOA UNAWEZA USIIPATE, U SMART WA MTU UPO AKILINI MWAKE