Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Mfano umeamua kuoa ukafuata taratibu zote ila mwanamke akakwambia sifanyi tendo la ndoa mpaka siku ya kufunga ndoa ukakubali, baada ya kufunga ndoa kabla ya kulala mke akawa analia maumivu makali sana sehem za siri na chini ya kitovu kiasi kwamba hawezi kuruhusu kuingiliwa na mwanaume maana anaumia sana ukaamua kumpeleka hospitalini, jioni hiyo akapangiwa kufanyiwa upasuaji kwenye mfuko wa uzazi, upasuaji haukufanyika vizuri maumivu yakaendelea kabla ya kidonda kukauka akarudishwa tena hospitali akakaa huko miezi 3 akaandikiwa rufaa aende nje ya nchi.
Je wanaume tuna uwezo wa kuwa waaminifu hadi hapo mke atakapokuwa amepona.
Je wanaume tuna uwezo wa kuwa waaminifu hadi hapo mke atakapokuwa amepona.