Wanaume hapa Tanzania, je tunaweza tukawa waaminifu kutofanya tendo la ndoa kabla na baada ya ndoa

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Mfano umeamua kuoa ukafuata taratibu zote ila mwanamke akakwambia sifanyi tendo la ndoa mpaka siku ya kufunga ndoa ukakubali, baada ya kufunga ndoa kabla ya kulala mke akawa analia maumivu makali sana sehem za siri na chini ya kitovu kiasi kwamba hawezi kuruhusu kuingiliwa na mwanaume maana anaumia sana ukaamua kumpeleka hospitalini, jioni hiyo akapangiwa kufanyiwa upasuaji kwenye mfuko wa uzazi, upasuaji haukufanyika vizuri maumivu yakaendelea kabla ya kidonda kukauka akarudishwa tena hospitali akakaa huko miezi 3 akaandikiwa rufaa aende nje ya nchi.

Je wanaume tuna uwezo wa kuwa waaminifu hadi hapo mke atakapokuwa amepona.
 
Ili tugundue nin Sasa?
 
Ongeza pia baada ya kufika huko nje anagundulika ana Kansa ya kizazi stage 4.

Itabidi umsubiri tuu upone.si ndiyo mlivyoapa pale kanisani/msikitini

Huo kama siyo.utapeli ni nini sasa?
 
Kama mwanamke akiwa bikra sawa. Ss unakuta mwanamke ashasex na wanaume yotong tatu, unaweka akiba ya kazi gani, fyatua tu mengine mtajuana mbele kwa mbele
Hata akikuambia ni bikra hutamuamini, hamuishiwi visingizio
 
Yote kwa yote ni upendo.

Mpenzi wako ana matatizo unaanzaje kupata genye eti. Yaani unawaza sex kabisa. Ukichukulia matatizo yake ni yako huwezi waza upuuzi.
 
Mfano umeamua kuoa ukafuata taratibu zote ila mwanamke akakwambia sifanyi tendo la ndoa mpaka siku ya kufunga ndoa ukakubali, baada ya kufunga ndoa kabla ya kulala mke akawa analia maumivu makali sana sehem za siri na chini ya kitovu kiasi kwamba hawezi kuruhusu kuingiliwa na mwanaume maana anaumia sana ukaamua kumpeleka hospitalini, jioni hiyo akapangiwa kufanyiwa upasuaji kwenye mfuko wa uzazi, upasuaji haukufanyika vizuri maumivu yakaendelea kabla ya kidonda kukauka akarudishwa tena hospitali akakaa huko miezi 3 akaandikiwa rufaa aende nje ya nchi.

Je wanaume tuna uwezo wa kuwa waaminifu hadi hapo mke atakapokuwa amepona.
Kanuni ya kwanza kabla ya kuoa is shake well before use... teh!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom