Mashoga wa Ulaya,Asia na nchi nyingi duniani
1.Hayo maneno uliyoyasema hawayatumii (may b kwavile hawajui Kiswahili) ila pia cdhani kama wanatumia kwa lugha zao
2.Wanajishughulisha na biashara zao na sio watu wanaopenda kuhongwa
3.Masaa mawili bafuni?? Cdhan hata wanawake kama wanatumua huu muda bafuni.Swala la kujipodoa kwa men hata mm nalipinga
4.Mm binafsi cpendi aina hii ya mziki (taarab),ila cwezi kuwahukumu 100% wale wanaoupenda na kuwaita mashoga,kwa maana hata wale tunaopenda kuckiliza Hip Hop na Mnanda zaman tulikuwa tunaitwa mateja na wavuta bangi kitu ambacho sio cha kweli ( may b walikuwa wanaangalia mazingira ya waimbaji).
5.Chips mayai,chips kuku favorate food?? Hell no,men can't depend on that things as a meal.Ila unaposema mwanaume kamili hawezi kuagiza fanta orange au passion mbele ya dem bora aagize maji,WTF,if u are a real man stop pretending,real mens don't pretend,do your things broh if u like fanta passion/orange,order it even if u are surrounded by milions of chicks.Ukijifanya kuagiza vodka huonekane mtabe wakat sio,UTAUMBUKA.
6.Real men can't say "nimeshindwa"?.Broh hapa pia nakataa,kuna mipaka yake aisee,huwezi ukafosi ufanikishe kila kitu hata kama kipo nje ya uwezo wako.Jamii Forum kuna hadi watoto wa shule humu ndani,sasa ukiwaambie wakomae kufanikisha hadi vitu vilivyo nje ya uwezo wao (kisa tu wanavifanya kwa ajili ya madem) utasababisha watumie kila njia ili vitiki,matokeo yake nadhan unayajua.
7.Sure mkuu we don't need to fight our wives/girlfriends.
8.Real mens hate gays,ila pia hata girls/women hate gays..the whole society hate gays.
NB:
Ila mkuu pia naomba niseme hivi,kuwa mkakamavu ni jambo muhimu sana kwa mwanaume,but halimfanyi mtu ndio awe mwanaume halisi.Maana nishawahi kukutana na shoga ana six packs,wapo mashoga yanayobeba nondo na kufanya shughuli nzito nzito,pia mishoga mingine inapenda Hip Hop balaa.
MWANAUME HALISI NI YULE AMBAE VICHWA VYAKE VYOTE VIWILI VINAPIGA MZIGO IPASAVYO NA HAPUMULIWI KISOGONI NA MWANAUME MWENZIE
#Analyse .