dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
Uko sawa kwa mambo karibu yote hayo. Haya jipigie makofi
Huu ndo ukweli, awe na PESA na ajue kuzitafuta PESA zilipo.
Kweli karne hii kuwa mwanaume ni kazi! Kila kukicha kunaletwa vigezo vipya!!! Me naishi nitakavyo mradi simchukizi Mungu.
Ukiwa mwanaume jitahdi Uwe kichwa cha familia na sio kutegea tegea pesa ya mwanamke, unajiweka weka nyuma mwanamke ndo afanye kila kitu,wanaume Wa siku hizi wengi mnadharaulika sana
Mna??? 😱Niondoe huko kwenye kundi! Who are you to judge me? You don't know me! So you don't have the right to judge me!!!😡:thumbdown:
Akiwa anaandika sms..hatumii emoticons za ajabu ajabu mf. Blushing (smile na vishavu vyekundu) in short emoticons zote zenye rangi nyekundu kwenye vishavu kidume ukitumia unazingua, au kucheka hadi unatoa machozi...ni drama hizo ..afu drama ni mambo ya wadada...dume zima utachekaje hadi utoe machozi afu ukute kitu chenyewe hakichekeshi sana wala nn
havai mlegezo
Havai modo/vichupa utadhani nguo ya mdogo wake wa kike.
havirembi kwa kuvaa hereni au kutoboa masikio.
hajisifu kwa kutongoza madem wengi .
hali pipi kijiti tena barabarani.
hajipulizii pafyumu sana mpaka inakuwa kero... kama kuna ulazima basi kidogo tu inatosha sio mtu mita tano harufu ya pafyumu inakufikia.
hasuki nyele.
hanyoi viduku.