Wanaume halisi hawafanyi haya

Wanaume halisi hawafanyi haya

Gazaniga

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
1,051
Reaction score
360
Habarini wadau,

Mwanaume anayejitambua hayafanyi haya yafuatayo:-

-Kwanza hatumii maneno haya Mie, Aibu naona mimi, Nimekumisije, haloo, jamani, Inahuu, Chezea...na mengine ya hivyo

-Hafurahii kuongwa au kulishwa na mwanamke

-Hakai masaa mawili bafuni na wala hajipodoi kama wakike

- Hapendi taarabu kuliko aina zingine za musics

-Hawezi kusema chakula anachopenda zaidi ni Chips mayai,Chips kuku, na kupenda vichokolate na Vannila.Na hawezi kuagiza fanta orange au passion mbele ya wanawake,bora aagize maji kama sii mlevi

-Hata siku moja hawezi kusema neno "Nimeshindwa" na badala yake anasema"Nitalishuhulikia hili" especcially kwa mwanamke

-Hagombani na mke kwa kupigana naye au kurushiana maneno (ni aibu)

-Anachukia kutoka rohoni Ushoga na hawezi kuwa karibu na shoga.

Ongezea lingine japo moja....
 
Anapenda kusikilizwa na mwanamke, hapendi kujiremba koz ni (ushoga), ana Msimamo thabiti, he has confidence on wat he decides, Hana hiana na watu wenye mazoea zoea(Makavu live) ni mtu anayependa maendeleo sio msela mavi..! Nimeongeza kadhaa sorry Mkuu
 
Hata huyo mwanamke hakuna anayekaa masaa mawili bafuni, Tatizo ni kwamba
kuna wanaume ni Wachafu hivyo anatumia kisingizio cha uanaume kuwa me
hatakiwi kupendeza au hata kupaka Losheni huo ni uchafu tu Bro.

Kupenda Taarabu bado si Tatizo kwani huo ni Muziki wa mwambao sasa kama ni asili
yake unataka iweje? Mimi sipendi kabisa Muziki unanichukuliaje?

Hivi kuagiza Fanta Orange au Passion nako ni tatizo si kweli mkuu hayo ni mapenzi
binafsi ya watu katika ulaji labda ungesema Udongo maana sijaona me anakula udongo.
 
Anapenda kusikilizwa na mwanamke, hapendi kujiremba koz ni (ushoga), ana Msimamo thabiti, he has confidence on wat he decides, Hana hiana na watu wenye mazoea zoea(Makavu live) ni mtu anayependa maendeleo sio msela mavi..! Nimeongeza kadhaa sorry Mkuu

Safi sana mkuu:thumbup:
 
Akiombwa kitu na mwanamke hasingizi ni anasa au kusema huyu mwanamke anapenda sana kuomba omba. Bali hutekeleza na hutoa bila kukumbushia kumbushia.
 
kwahiyo pesa zimepotea na wanaume pekee ndio hujua zilikopotelea

Mkuu kama ikatokea umepishana na PESA..mengine yote yatabaki kuwa maumivu kwako..PESA huleta VINONO mezani, na sehemu kubwa sie wanaume ndo tuna jukumu kubwa la kuhakikisha PESA ipo, sikatai ukipata msaada kwa mke/mchumba, lakini heshima mbele zikitokea mfukoni mwako..
 
Gazaniga

Ukweli mtakatifu huu..kinyume chake kama yanafanyika basi na kavulana na sio mwanaume pana tofauti hapo!

Mwanaume kamili lazima ajue ratiba zote za mkewe/girlfriend wake
 
Last edited by a moderator:
Akiona mke ameleta kuku anakula bila kuuliza kuku katoka wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom