Hivi kwanini linapokuja swala la kuoana huwa hamjiamini?mnakimbia majukumu?hauamini kama mwanamke uliyenae ni sahihi wakati kila siku uko naye?au kuoa ni kuwa na pesa nyingi?kwanini hamjiamini linapokuja swala la ndoa?emu tujuzeni leo waheshimiwa maana mi huwa sipati jibu la swali hilo.......