Wanaume embu nisaidini hili

Umeua!!!!!!!
 
hayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..
Lazima kuna sehemu una miss tu wanaume tuna real love kama ni hivyo basi jamaa hakupendi ana force kukupenda in reality hayuko hivyo
sifa kuu zetu wanaume kama humpendi mtu ukionja tu mara moja Tayari thamani yake ushaishusha na hapo ndipo weakness tunaanza kuziona kiukaribu
katika hilo JICHUNGUZE NANI ALIMUANZA MWENZIE HUENDA WEWE ULIMTONGOZA HANA MAPENZI NAWE

nijuavyo kwetu sisi wanaume ukipenda hata uende ukadate na wanawake 100 bado utarudi tu kwa umpendae na kujiona msaliti
 
sawa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…