strugo
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,237
- 1,838
Kwa huh umri unatakiwa kuwa shule siyo huko unakopeleka matunda....
Kwa huh umri unatakiwa kuwa shule siyo huko unakopeleka matunda....
Wa hivyo nawaitaga "pasua kichwa"Nina Uhusiano na Bint Mmoja takriban miez mitatu nampenda lakin anadharau huwa ni mtu asiyejal hata kama nikiwa naumwa yeye anajal yake ila yeye akiumwa ss unaeza sema umegeuka house girl....Ila alichonifanyia Leo nimechukia sana alaniambia anaumwa yuko nyumban akiniomba nimpeleke matunda nikafungasha kama ya Ten nilipofika karibu na kwao nikampigia simu njoo chukua mzigo wako ili na mim nisepe akasema anaumwa sana nimpigie rafiki yake aje amchukulie mana yey anaumwa sana nikampigia bahati mby nikamkosa rafik yake nikaomchek nikamwambia toka tu uchukue niendelee na mambo yangu mengine akasema anaumwa sana ikabid niondoke mana mvua ilikuwa inanyesha hamad nikakutana na rafik yake nikamuliza Fulan anaumwa kiasi kwamba awez toka?akaniambia mbona anatoka vzr tu nikampa mfuko nikarud nyumban ghafla ananipigia simu ety nipo sehemu fulan njoo nione nikamwambia nimekuja hadi kwenu ajatoka saiv nije kufuata nin uko....iv ni wanawake wote wako ivyo????
Acha uboya huyo sio mpenzi unatumika tu hapo.
Hayo matunda kamtengenezea mwenzio juice anakunywa tu saa hizi
Yaanii... Hili la kuleta hapa!??Kuna mtu aliandika thread... mitihani ishaisha sasa tusubiri aina hizi za nyuzi
Umri wako kabla sijakushauri chochote