Wanaume Embu Nisaidien kwenye Hili

Daaaahh....!! nacheka sana wakuuu nikisoma hizi mada, huyo manziii wako anaumri gani? kwnn kuanzia 24 kuludi chini ukiwa nawo kwenye mahusiano hinatakiwa ujiweke kisawasawa kwn wengi wao huwa hawajielewi nn wakifanya na huwa hawako siliac, ww unaweza kuwa cliac yy anakuchukulia poa mvumilie tu na hata ww umri wako bado sana wa kusema utamuoa wote mnapakana shombo tu
 
Hivi mwanamke km ushamlala anakusumbua nini tena?embu niwaulize wanaume wenzangu..manake mimi nkishamlala mwanamke naanza kupima ukubwa wa akili nikikuta mjinga mjinga yan ht week 2 si maliZi napiga chini sasa nyie wenzangu kweli mtu ushamlala na ushajua akili yake mbovu mnasubiri nini au tuanze kufundisha kutongoza...mnk ni ajabu ...
 
Nimejizuia nisikutukane na hatimae nimeweza Ahsante Mungu.
Eee Mungu msaidie huyu mvulana akikua awe tofauti na kama kweli ni mwanaume kamili basi eee Muumba mpe ile akili ya kiuwanaume ambayo mwenyewe uliibariki na kuiita kichwa Cha Nyumba.
 
Nimejizuia nisikutukane na hatimae nimeweza Ahsante Mungu.
Eee Mungu msaidie huyu mvulana akikua awe tofauti na kama kweli ni mwanaume kamili basi eee Muumba mpe ile akili ya kiuwanaume ambayo mwenyewe uliibariki na kuiita kichwa Cha Nyumba.
Ndio mana mdogo wangu kila siku tunasema mnaanza kupungua.
 
Nina Uhusiano na Bint Mmoja takriban miez mitatu nampenda lakin anadharau huwa ni mtu asiyejal hata kama nikiwa naumwa yeye anajal yake ila yeye akiumwa ss unaeza sema umegeuka house girl....Ila alichonifanyia Leo nimechukia sana alaniambia anaumwa yuko nyumban akiniomba nimpeleke matunda nikafungasha kama ya Ten nilipofika karibu na kwao nikampigia simu njoo chukua mzigo wako ili na mim nisepe akasema anaumwa sana nimpigie rafiki yake aje amchukulie mana yey anaumwa sana nikampigia bahati mby nikamkosa rafik yake nikaomchek nikamwambia toka tu uchukue niendelee na mambo yangu mengine akasema anaumwa sana ikabid niondoke mana mvua ilikuwa inanyesha hamad nikakutana na rafik yake nikamuliza Fulan anaumwa kiasi kwamba awez toka?akaniambia mbona anatoka vzr tu nikampa mfuko nikarud nyumban ghafla ananipigia simu ety nipo sehemu fulan njoo nione nikamwambia nimekuja hadi kwenu ajatoka saiv nije kufuata nin uko....iv ni wanawake wote wako ivyo????
Huyo demu ni kum@m@ke mpotezee
 
Hatupungui bhana, kabla hujawa mwanaume lazima uwe mvulana kwanza, kwa umri wake bado yuko kwenye uvulana, atapapita tu ni suala la muda.
Lakini ukumbuke siku zote tabia huwa zinaanzia chini ikiwa kwenye uvulana yuko hivyo unadhani akifikia kwenye uanaume itakuwaje.

Hawezi kubadilika huyo.
 
Lakini ukumbuke siku zote tabia huwa zinaanzia chini ikiwa kwenye uvulana yuko hivyo unadhani akifikia kwenye uanaume itakuwaje.

Hawezi kubadilika huyo.
Ndio mana Mimi nimemuombea kwa Mungu na ikimpendeza atambadilisha.
 
Kaka unamahusiano naye alafu yupo hivyo na unamelengo zaidi. Achana naye tuu kwan mwanamke wa design hiyo anapenda kuwa mbabe au jike dume . Bado tuu kufua nguo zake za ndan
 
Kwangu kdg naweza kumvumilia mwanamke mchepuko kuliko
1. Asie na upendo kwa ndg zangu
2. Mwenye kunidharau mpk mm,

blv m kuna vitu havibadliki , huwez badilisha roho mbaya ya mtu, labda roho amshukie mwenyewe
 
Back
Top Bottom