Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Hahahaahahahahaaha!!!! inaonyesha yeye mrefu,kaenda kukutana na kituko balaaaa!!! hana hamu alipo, hayo ndiyo mambo ya ONLINE DATING vumilia tu mleta mada. ila umenichekesha sana.
Hahahahaahhaaaa!!!! lakini ni kweli alitakiwa ampe nafasi ili amuonyeshe urefu wake, Loh! ama kweli wanaume wafupi wanavituko kweli kweli.Chezeya JF weye!!! labda njemba kwa uelewa wake naye ni "MUREFU"
She should have given Love a chance lol
Tatizo alijipanga sana, na akaenda na pic yake kichwani akijua anakwenda kuonana na mtu anayemhitaji, kufika Loh! kusalimiana naye hamu yote ikaisha, ni sawa una hamu ya kula pilau/birian unafika unakuta ugali na bamia na dagaa kauzu.
Huyo hakuwa na njaa
Ulivyosema mrefu mweusi mwenzako alikuelewa vingine usimlaumu ungempa nafasi ujue urefu wake...
Hahahahaahhaaaa!!!! lakini ni kweli alitakiwa ampe nafasi ili amuonyeshe urefu wake, Loh! ama kweli wanaume wafupi wanavituko kweli kweli.
yaani nimecheka saaaaaana,etieeeh majina yanauza humu ndani mfano BAK huwa nalipenda sana jina na mtu mwenyewe ni mwelewa kaka Respect! love you kimtando tu si kimapenzi mana kuna watu humu wataanza mashairi!na nyinyi wadada wakati mwingine mnayataka wenyewe, we umeomba urafilki/uchumba watu tukatuma pm sasa we unaanza kuchagua majina ya kujibu ulitegemea nini? We unafikiri jina zuri au maarufu ndo perspective ya mtu? Watu tuna uhandsome wetu banaa
Heloo we vipi?!!!!! Wenzako siku hizi wanaangalia maslahi na maisha we bado unakalia kutaka wanaume warefu....acha ushamba we msichana, mbona hata ushamba wenyewe inaelekea wala haukupendezi!! Hao ma-Handsome wenzako ni watu wa mechi za mchangani, nyumbani ni yule mwenye uwezo katika Family Management....open ur eyes bi mdada otherwise utaishia kuwa mtoa huduma pendwa tu.....usije lalamika kwamba hukuwahi kuambiwa!
Family Management ni zaidi ya fedha, Heloo vp?! Ndo maana nikakueleza unajitia ushamba wakati ushamba wenyewe haukupendezi! Na ninaposema family managenet includes kuwa hata na uwezo wa ku-manage mahusiano manake hukawii kusema "kama issue ni family management, mi ni mgumba na hata ikitokea kuwa na kids, nannies wapo !"mimi kwangu hiyo haipo napenda hata nikiongozana na mtu njiani watu waappriciate,pesa kitu gani hata mimi ninazo!
Uumbaji wa Mungu haukosolewi.
Ulivyosema mrefu mweusi mwenzako alikuelewa vingine usimlaumu ungempa nafasi ujue urefu wake...
Ni mambo ya ajabu na kusikitisha sana eti inatokea msichana\mwanamke unataka mwanaume mwenye sifa mfano mrefu mweusi asiwe mnene sana ,BASI wanatokea watu wanaPm nawe unachagua wa kwenda kuonana nae ukizingatia sifa zile unzozitaka tayari jamaa kaelewa na kabla anajisifu sana.
Siku inafika mtoto wa kike unajua leo naenda kukutana na yule mtu wa ndoto yako!!Lahaula lakwata!!!!
Unakutana na mtu tukisema wale mbilikimo wa CONGO DRC tuakuwa hatujakosea jamani huyu mtu anakuwa na
maana gani?jamani mbona kuna watu wapo tu wapenda vishotiiiii?mbona unalazimisha wewe kaka basi ungevaa hata magongo ya PIMBI tujue moja,O vyoooooooooooooooooooooo sana.