Wanaume ebu acheni hizo!

acha dhambi wewe dada lol
 
kama unatafuta mtu online nawe utakuwa na matatizo kwa vp umeshindwa mpata mtu ktk hali ya kawaida?
wewe umetoa vigezo unavyozingatia
vya kwako uliviweka wazi?
 
Ha ha ha ha.. unajua saudari huyu hello bado mgeni wa mambo haya.. Halafu ana bahati maana wengine wanakujaga na dawa zao.. akikusalamia tu umeenda na maji..

Hiyo si tabia yako? Mbona unataka kujidai hautumiagi hiyo style?
Hahaahaaaaaaa!!! umemkaza mtoto wa watu halafu anakuja kutulilia lilia ovyo.
 
kweli kabisa uumbaji wa Mungu hauna makosa. Na kama ulitaka wa vile, cjui ivi ungetoka na kuswampa mtaan kutafta mwenyew. Pole
 
haya ndio mambo yaliyonifanya nikimbie Fb... Kumbe hata huku yapo... Doh!
 
Hiyo si tabia yako? Mbona unataka kujidai hautumiagi hiyo style?
Hahaahaaaaaaa!!! umemkaza mtoto wa watu halafu anakuja kutulilia lilia ovyo.

akuu mie saudari.. mbona Paloma ananitosha peke yake.. wengine ntawaweza wapi mie.. nimemuachia Erickb52 shughuli hiyo.. maana yeye kila kichaka akikiona anataka atoe haja zake..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana endelea kumuomba Mungu atakujaalia siku moja utamuona umpendae
 
Una lolote ungekuwa mzur ungekuwa ushapata bwana lazma utakuwa mbovu tu mtoto wakike uko social network kutafta mabwana unawaaibsh wasichana wanzako nungayembe Ovyooooo..

Sent from my BlackBerry 9105 using JamiiForums
 
sosoliso embu come this way maana umemfanya hello wa watu achafue hali ya hewa huu ndani.
Hivi ulishindwa kumueleza ukweli mi ajue anakusaidiaje?
CC: Paloma

afu unajua mie nakufannanisha na huyo mtu wa kwenye avatar yako.....sasa usijeniletea kitambi afu una upara!!!!! hahahahahaaaaaaaaaaaaa
 
afu unajua mie nakufannanisha na huyo mtu wa kwenye avatar yako.....sasa usijeniletea kitambi afu una upara!!!!! hahahahahaaaaaaaaaaaaa

Umeanza lini kuchagua appearance za mashemeji zako? Au ndo tuseme unaamza kunilove kidogo kidogo?
 
Umeanza lini kuchagua appearance za mashemeji zako? Au ndo tuseme unaamza kunilove kidogo kidogo?

aaaa shemeeeji.............si unajua tena shemeji kula kaka hayupo!!! nataka tu nikutege.........!
 
aaaa shemeeeji.............si unajua tena shemeji kula kaka hayupo!!! nataka tu nikutege.........!

Mie ambavyo vimeshapigwa nembo, nakula nilivyovipiga nembo mimi mwenyewe.

Kutegana kwa namna hii sitaki kuona tena.
 
Mie ambavyo vimeshapigwa nembo, nakula nilivyovipiga nembo mimi mwenyewe.

Kutegana kwa namna hii sitaki kuona tena.

hahahaa kumbe kweli hutegeki!!! sosoliso aliniambia ukweli aisee!
haya banaa nakupa big up!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…