Wanaume: Dawa ya kumshika mpenzi

Kwa maisha ya sasa pesa ni kigezo muhimu sana kama.ni nyumba basi pesa ndio msingi wake haya mengine ni maswali ya nyongeza ushauri isijiingize mapenzini kama huna kipato na kama una kipato cha hapa na pale tafuta wa saizi yako wazuri waache kama walivyo maana hutakuwa na jeuri yoyote ukiwa una pesa ya uhakika ruksa kuwa na umtakaye sasa jifanye mjanja
 
Hadii leo hujampata. Ifike mahali umkubali tu kwa mkwanja alionao. Marginal utility of money haina turning point!
Moyo na akili yangu inagoma kukubaliana na ukwel bado inataka kujaribu
 
"Kumtuliza wife kwanza ni Minoti isiye shida sana, Pili make sure kwenge Game Unapiga Goli 3# ukicheza chini ya kiwango hata kama una pesa.. atawatafuta wakina Ronaldo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…