Wanaume: Dawa ya kumshika mpenzi

Hivyo ulivyovisema ongezea na mali kauli yaani nyama ya ulimi yaani ujue kuongea kwa kubembeleza na kwa mahaba na mkeo, ujue kutaniana na mkeo ili wakati wa kuongea mambo ya maana au yanayohitaji umakini anakuwa makini kweli.

Nyama ya ulimi tamu sanaa hasa kwenye simu...... ile sauti ilee.... ukicheka sasa........... halafu itumie hiyo kubembelezea......... utafika hadi ikulu ya lyabambashi............😛😉🙂

Mie kashajua napenda nyama ya ulimi basi nashibajeee
 
Umenifundisha kitu....asante Kasinde......ngoja nilifanyie kazi....
 
Kunguru wengine hawafuguki. Wapo ambao wanataka kupata vionjo tofauti. Hata ufanyaje atatoka tu.
 
Haaa!! Umetishaaa
 
da shemeji........
Jamani shemdarling nilikumiss hadi nahisi kuumwa!! Ndio mkaenda kujifungia wapi na mdogo wangu? Tena mwambie karibia namfuta jina kwenye ukoo[emoji57]
 
Wanawake wengine hawaridhiki..Hata ujitume vipi..Still ataona juhudi zako hazitoshi...Viumbe wengine wazito sana..Hawabebeki
Khaaaah!! Si kiranga chako cha kuruka ruka, acha yakukute!
 
Jamani shemdarling nilikumiss hadi nahisi kuumwa!! Ndio mkaenda kujifungia wapi na mdogo wangu? Tena mwambie karibia namfuta jina kwenye ukoo[emoji57]
kheeeee.....
usimfutee mwaya....
mambo ya hani muni....teh. atarudi soon shem... i miss u
 
kheeeee.....
usimfutee mwaya....
mambo ya hani muni....teh. atarudi soon shem... i miss u
Hii hane mun yenu km mmeambiwa mnakufa kesho[emoji134] , mwambie kwa jinsi nilivyommiss ajisalimishe mwenyeweee kabla sijaghairi zawadi.
 
Hii hane mun yenu km mmeambiwa mnakufa kesho[emoji134] , mwambie kwa jinsi nilivyommiss ajisalimishe mwenyeweee kabla sijaghairi zawadi.
teh saawa ameshaona. ila usimtoee kwenye ukooo dada shemej....

na smartfone nimeichukuwa.. si unakumbuka ule uzi wa mke wa mtu smartphone ya nini?
 
teh saawa ameshaona. ila usimtoee kwenye ukooo dada shemej....

na smartfone nimeichukuwa.. si unakumbuka ule uzi wa mke wa mtu smartphone ya nini?
Khaaah ili uchepuke vizuri, maana umesema we utachepuka tu ila ole wake!! Nitamnunulia nyingine, usininyanyasie mdogo wangu.
Yule hata nimfute hafutiki ng'oooo.
 
mtu na pesa zakeee.... Mwenye ppesa sio mwenzio mwenye anaweza hamisha milima mito na mabonde mwenye ppesa anaweza amisha hata mke wakooo... Ila hawezi ishi mileleee hawezi ishi milelee nakwambia. Pesa hainunui furaha ya milelee
 
Khaaah ili uchepuke vizuri, maana umesema we utachepuka tu ila ole wake!! Nitamnunulia nyingine, usininyanyasie mdogo wangu.
Yule hata nimfute hafutiki ng'oooo.
ameridhika na kitochi buanah shemeji.....
mwenyewe walaa hasemi....ila akitaka smrt fone anatumia yanguu....

mke wa mtu smart phone ya nini
 
ameridhika na kitochi buanah shemeji.....
mwenyewe walaa hasemi....ila akitaka smrt fone anatumia yanguu....

mke wa mtu smart phone ya nini
Teh teh teh! Shem najua hajaridhika ila ndio vile hana jinsi, ila huu ubandidu umeuanza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…