KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,053
Haswaa mkuu pesa ni sabuni ya roho....Unajua kuna mambo mengine hayahitaji uchawi wala elimu ya juu kuyafahamu
Pesa mwanaharamu ati
Mtani wewe mwenyewe ukiona hela mikono inakutetemeka na pochi inajifungua yenyewe....mtani umemaliza
Hahahaaaaaaaa yaani mule mule mkuu....Ahsante Mkuu, sijui kwa nini nimeukumbuka wimbo wa zamani "Mwanameka"
Wewe ni miongoni mwa watu wanaoishi kwa matumaini....Bado pesa si kila kitu...
Pesa ni nzuri kuwa nazo ila pesa si kila kitu.Wewe ni miongoni mwa watu wanaoishi kwa matumaini....
Kwa sasa pesa ni kila kituPesa ni nzuri kuwa nazo ila pesa si kila kitu.
Pesa siyo kila kitu lakini ni sehemu muhimu ya maisha...Pesa ni nzuri kuwa nazo ila pesa si kila kitu.
Huu ukweli ambao sisi wagonga ulimbo tunaukataa kwa kujifariji....Ufundi peleka VETA .. pesa inakufanya daily my wife wako akuone kijana πππ
acaha tu nina mvuto kwenye pesaMtani wewe mwenyewe ukiona hela mikono inakutetemeka na pochi inajifungua yenyewe....
Huo mvuto wako ungejikita kwenye dola zaidi kuliko hizi za madafu mtani....acaha tu nina mvuto kwenye pesa
Tunatumia pesa, tunazisaka pesa. Pesa ndo kila kitu bhana heshima nayo inakuwepo pia