Wanaume chukueni hii siri

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,438
Reaction score
27,836
Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala

Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia

Wanawake wakali huwa wajifichi fichi,

Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza kujifanya mkali jua mbovu tena wa kutupwa

Kama mlishuhudia mkeka, mmejionea wenyewe, zile pisi kali wala hazina vibweka kabisa, ila haya mangijangija ndo masumbufu

Ama, kweli mtoto mkali hana nongwa kabisa, na yuko direct hata kama hakupendi atakukataa bila kukukwaza.

Nawasanua, moja ya redflag ni pisi kujifanya ina ego kubwa, ukishaona analeta miyeyusho na hakujibu comments zako, jua nilibovu hatari,

Pisi kali hazina nongwa na hazina trauma, haiwezi kukusumbua na kukujibu vibaya. Na itakua friendzone bila kukufanya ukiskie vibaya, ila haya mengine yanayojifanya sijui high class hayana jambo lolote.

Anyways asije kusema mtu nimemsema hapa, nilikuwa Nawasanua wana tu...

Weekend vibez, hakuna kulala.
 
Kauli mbiu ni ile ile
JF pisi kali ni chache na za kuhesabu

Hawa wengine ni digidigi tu in min -me voice
 
Mimi nilisema hivyo nikiwa na vodka za kutosha kichwani😁😁

Sasa ngoja wakuokotee mawe na ulivyo muoga wa maneno ya wadau , lazima upanic😅😅
Ila ukilewa si ndio unatema point tupu bwashee, 🤣🤣

Wacha tu waambie ukweli tu hawa digidigi

Na uzuri ni kwamba Sija mtaja mtu,

Yaani kumbe nilikuwa naanzishia nyuzi vikaragosi na watu hamsemi?
 
Ila ukilewa si ndio unatema point tupu bwashee, 🤣🤣

Wacha tu waambie ukweli tu hawa digidigi

Na uzuri ni kwamba Sija mtaja mtu,

Yaani kumbe nilikuwa naanzishia nyuzi vikaragosi na watu hamsemi?
Ni sawa kama umeandika tu, ila kama kuna ambao umewalenga baada ya kutifuana sio sawa
 
Ni sawa kama umeandika tu, ila kama kuna ambao umewalenga baada ya kutifuana sio sawa
Hapana bwashee, nimeandika kwa ajili ya pisi zinazojifanyaga ngumu kupata kumbe ni vile zina ego uchwara na delusional beauty
 
Hapana bwashee, nimeandika kwa ajili ya pisi zinazojifanyaga ngumu kupata kumbe ni vile zina ego uchwara na delusional beauty
Hazijifanyi ngumu kupatikana janja sema kuna angle zao hugusi ndio maana wanatosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…