Waingereza wana usemi ---- "good things are for free" ndio maana hewa muhimu kuliko bia lakini haiuzwi. Tabia bado ni muhimu ingawaje tunapapatikia makalio. Unaweza ukayapata makalio hayo ukayakimbia kwasababu ya tabia. Yaani tabia ikiwa mbaya hata makalio hayavutii tena