Sio rahisi kujua tabia za mtu haswa mwanamke, kwa iyo kabla hatujajua tabia hujitahidi kuangalia mwonekano na shap pia!!
Now days kwa kweli ni kama ugonjwa ao msimu kwa sisi wanaume kuanza kumpenda mtu kwa umbo lake, na tunapenda saana makalio yaliyonona kiasi na kanyama mwilini maaana..................