Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,751
- 172,092
Ha ha ha lunatics hatariiiHaya kajipake mavi basi usiwe msafi...ama kweli tafiti za wizara ya afya naona zina ukweli ndani yake kwamba watanzania wengi ni vichaa..kama.kuna mtanzania anafikiria haya on a broad day like this one ...aise
umepoteza dira kaka.mtoto jukumu la mama tu????? he!
...... Those time when men were men!!!!
Siku hizi tofauti yetu na wanaume ni kidogo sana, yani wanaume wanajiliza kama wanawake ptyuuu
Mwanaume unapenda dezo dezo kama changudoa mxyuuu
Hujui kipi unatakiwa ufanye kipi usifanye?hujui mipaka ya kiume, Mnakera sana
Hata hadhi ya uanaume imepotea, enzi hizo ukirudi nyumbani yani mazingira ya home tu yanafanya ujue dingi yupo au hayupo watu wana behave kama ni story zinapigwa taratibu hakuna keleleWanadanganywa upuuzi, yaani mwanaume anasifiwa mambo ya kike, hivi zamani mwanaume alikuwa anasifiwa usafi akuvumilie kama si vita.
Mwanaume anasifiwa uzuri tena mbele ya masikio yake nae anacheka kama Changudoa aliyeona bia.
Hakika wanaume tumepoteza sifa za msingi
[emoji107]Habarini Wanajamvi!??
Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo hili lilianza kama riwaya ya mzaha mzaha lakini kwa sasa si riwaya tena ya Mzaha Bali riwaya ya dhati.
Hivi mwanaume inakuwaje unalalamika kuwa hakuna pesa, hivi tukilalamika hivi wanawake wao wafanyeje. Ifike pahala wanaume hichi kitabia cha kulia lia hakuna pesa tuache. Mwanaume halisi hupambana na hatari yoyote katika mazingira yoyote.
Kumezuka tabia wanaume tunalalamika kuwa wake zetu au Wapenzi wetu(Wanawake) Wametushinda. Mwanaume halisi lazima ajue namna ya kumtawala mwanamke na amtawale mwanamke. Yaani mwanamke anakupeleka peleka kama kikaragosi kipelekeshwavyo na upepo kaatika anga. Mpaka Mungu anatushangaa tunavyomtia aibu.
Wanawake waliumbwa kwaajili yetu, akizingua tupa kule tafuta mwingine.
Mwanaume kamili haogopi kuachwa na Mwanamke, bali mwanamke ndio anapaswa kutahayari. Unakuta mwanaume mzima anawaza upuuzi eti anaogopa kuachwa kisa watoto. Anayepaswa kujali watoto sio Baba ni Mama, mbona hata Nature inaonyesha kabisa.
Wanaume wengi wenye kujali kama wanawake ndio hukutwa na matatizo mengi kuliko wanaume halisi. Wengi hupungukiwa nguvu za kiume kwa Stress, Wanaume hatupaswi kuwa kama wanawake kihisia.
Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake.
Mwanaume unafikiria Usafi mwanamke afikirie kukuletea Ugali.
Weita ongeza bia.
Broo umeyumwa nnHabarini Wanajamvi!??

Ila nawe una kaudikteta uchwara tehHabarini Wanajamvi!??

Ila nawe una kaudikteta uchwara teh
Hata hadhi ya uanaume imepotea, enzi hizo ukirudi nyumbani yani mazingira ya home tu yanafanya ujue dingi yupo au hayupo watu wana behave kama ni story zinapigwa taratibu hakuna kelele
Baba tu anavoact anaheshimiwa, wababa wa siku hizi wamebaki na HESHIMA ZA KUJIOMBEA NA KUCOMMAND,"nataka mniheshimu, nataka hivi, nataka vile" wanaume hawakukua na KUTAKA.
Kwakua anajiheshimu na kusimamia heshima basi automatically nae ni LAZMA ANAHESHIMIWA
Broo umeyumwa nn
Huku kwetu hakuna watu kama wewwe manake tungeshakuchapa bakoraKwanza wewe utakua hujaoa,hivi unazani sasa wanawake wanaojielewa wanafukuzwa fukuzwa hovyo eee,mwanamke ukimfukuza jua kuwa na mali zako nazo zinapungua(mnagawana),kwahyo kumfukuza mwanamke inatakiwa ujipange kwel kwel,bila hvo unaweza kumtajirisha huyo mwanamke
Huku kwetu hakuna watu kama wewwe manake tungeshakuchapa bakora
Sidhani kama mnaweza labda muanze utamaduni wa kukaa na wazee waanze darasa la kuwafundisha uanaume....Hakika wanaume tunapaswa turudie zile kanuni za Msingi za uanaume. Ni aibu tupu.
Sidhani kama mnaweza labda muanze utamaduni wa kukaa na wazee waanze darasa la kuwafundisha uanaume....
Ila hii kukaa kaa ki baba Saleh mmefeli
Huyo ni Daktari anafanya diagnosisMkuu, vipi na yule anayesoma vitu asivyovielewa??
Kila ktk ndoa mwanaume razima uwe dikteta utaheshimika ukijifanya mdipromasia matokeo yake ndio haya sasa ,tunadharaulika kijinga hivi,Mimi ni diktecta home kwangu mwaka wipi sasa hatujawahi kusove kesi kila kitu fresh,WANAUME MUWE MADIKTETA MAJUMBANI MWENU, hata kama mwanamke ana mawe,kama vipi kila MTU asonge kivyake au heshima ifate mkondo wake,ni hayo tuIla nawe una kaudikteta uchwara teh