Wanaume butu

Umenikeraaa! kwa hiyo kulia lia kufulia ni kazi ya wanawake? mi simo kundi hilo
 
Umenikeraaa! kwa hiyo kulia lia kufulia ni kazi ya wanawake? mi simo kundi hilo


Usijali Madam, sijasema kuwa Hizo ni ishu za wanawake, ila ni tabia ya wanaume wanaolia lia jambo linalofanya wawe butu.

Pia mwanaume imeandikwa atakula kwa jasho tofauti na ninyi kinamama, hivyo ni apende asipende anapaswa kufanya hivyo
 
Kwa kujitetea tu hamjambo, lazima mtafute kimwanya ambacho mwanamke ataingia ili umsingizie shida zako. Haya kila lenye heri.
 

Yeah sure..
 
Kwa kujitetea tu hamjambo, lazima mtafute kimwanya ambacho mwanamke ataingia ili umsingizie shida zako. Haya kila lenye heri.
Sasa hapo nimejitetea nini?
 
umepoteza dira kaka.mtoto jukumu la mama tu????? he!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…