Wanaume butu

..kuna wanawake na wanawake haswa. Kuna wanawake wamepewa jeuri hata shetani anawagwaya. Omba Mungu sana upate mwanamke anaekupenda na mcha Mungu, aliyefunzwa toka kwao. Ukipata tofauti na hapo unaweza juta maisha yako...
 
..kuna wanawake na wanawake haswa. Kuna wanawake wamepewa jeuri hata shetani anawagwaya. Omba Mungu sana upate mwanamke anaekupenda na mcha Mungu, aliyefunzwa toka kwao. Ukipata tofauti na hapo unaweza juta maisha yako...

Ni kweli Mkuu, kuna wanawake ni jeuri isiyochanganywa na Maji. Hawa ni hatari saana katika familia.

Ukimpata mwanamke wa hivi ni bora uachane naye kwa gharama yoyote ili uachane na Shimo hilo la mauti.
Mwanamke ni pambo la nyumba kwa mumewe sasa likigeuka mwiba dawa yake ni kulichoma.
 
That is too much na inawezekana huyo akawa shoga kweli.
 
"Wanaume wengi wenye kujali kama wanawake ndio hukutwa na matatizo mengi kuliko wanaume halisi." hii mi naikubali 100%.
 
Kama uchafu ni sifa ya mwanaume, bora nidharulike kwa kuwa msafi.

Wapi kwenye mada kunasema Mwanaume awe Mchafu, Ukisoma uwe unatulia sio kuja kuongeza vitu ilimradi na wewe Ukomenti
 
Wapi kwenye mada kunasema Mwanaume awe Mchafu, Ukisoma uwe unatulia sio kuja kuongeza vitu ilimradi na wewe Ukomenti
"Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake"
Hii paragraph ulikuwa unamaanisha nini?!
 

Katika kundi la watu wa4, mmoja wao ana mapungufu ya akili.
 
Hakuna kitu kinaitwa usafi kupita kiasi. There are only 2 things. You be either smart or rough
 
Hakuna kitu kinaitwa usafi kupita kiasi. There are only 2 things. You be either smart or rough

Acha kuongea Uongo mkuu,
eti "There are only 2 things, you be either Smart or rough" Hicho ndicho unachojua, ndivyo vipimo vyako.

Mambo mengi kama si yote dunia huweza kuwekwa katika makundi matatu na si kama usemavyo.

We jitetee hapo. Ila kama umsafi kupitiliza ujue kuna dosari sehemu Fulani.
Nikupe pole mkuu.
 
acha walielie sie tunawaparua wake zao tu
 


Mbona inajielezea mkuu. Fanya utafiti mdogo, tafuta wanaume wa dizaini hiyo watano kisha anza kuchunguza yafuatayo.

1. Jinsi wanavyoongea
2. Mihemko yao iwe Kucheka, kukasirika, n.
3. Mambo wanayo yapenda kama Muziki, tamthiliya, n.k
4. Wanavyohusiana na watu wengine, hasa kinadada utagundua wanapelekwa pelekwa tuu.
5. Wanavyotembea
6. Wanapokabiliana na mambo magumu.
7. Wanapotetea hoja zao, ukiwapinga kidogo huweza hata kulia mbele za watu.
8. Huwa na maigizo mengi kama kinadada.

Angaliz Sio wote hivyo kwenye hiyo sampo ya watu watano, watatu wataingia katika sifa za uanaume butu
 
Dalili za awali za mgonjwa wa akili , 'KUPENDA KUANDIKA VITU ASIVYOVIJUA"
 
Daaah, mbona sijaona ubutu hapo au mie ndo sijui butu
 

Mkuu , the rest of your points ulichambua vizuri , ila hilo la kuhusisha usafi na ushoga halina logic kabisaa
 
Hapo sawa umechanganua vizuri, ulikuwa too general mkuu kwenye hiyo paragraph niliyoquote. Kweli hizo si character za kiume mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…