Wanaume butu

Haya kajipake mavi basi usiwe msafi...ama kweli tafiti za wizara ya afya naona zina ukweli ndani yake kwamba watanzania wengi ni vichaa..kama.kuna mtanzania anafikiria haya on a broad day like this one ...aise


Unadhani kwa nini Maisha yanazidi kuwa magumu mkuu?
 
Unakuta mtu mwanaume anajipodoa kavaa skin jeans ya kike tena ya pink,kabeba begi ndogo ndani kaweka leso mbili,toilet paper,chocolate, pipi ya kijiti,selfie stick,kioo,mafuta,perfume,power bank,afu hata story zake za umbea umbea tuuu!!!! Mambo ya kishoga kabisa hayo,Mwanaume unatakiwa uwe mgumu bwana sio unajipodoa
 

Ni hatari saana na janga kwa taifa Mwanaume kuwa Msafi kupita kiasi.
 
Suala la Usafi na ushoga hakuna uhusiano kabisaa Ushoga hauchagui Tajir Masikini wala Msafi au Mchafu


Nimesema kuna uhusiano mkubwa kati ya usafi kupita kiasi na tabia za kike, na Mara nyingi mwanaume mwenye tabia ya Usafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga kumaanisha anaweza asiwe shoga lakini tabia za kishoga
 

Simjibu kwanza mpaka akaoge ndio arudi tena
 

Nadhani mtoa mada umemaanisha Mwanaume kuji Podoa/ kujipamba [emoji1360]
 
Hawandio wakikaa kutwa kucha kujisifia tu by the way wewe nawe tafiti imekuhusu
 
Kwanini Mwanaume kuwa msafi kupita kiasi ni dalili mbaya?

Ubaya wake ni upi? Hebu fafanua tukuelewe zaidi.
 
Hawandio wakikaa kutwa kucha kujisifia tu by the way wewe nawe tafiti imekuhusu

Ni hatari kwa mwanaume kupenda sifa zinazotolewa na Wanawake.

Wanajisifu kwa Kujipodoa na kuoga kila Mara kama wanamwali, ni hatari saana kwa Ustawi wa silika ya kiume
 
Imechoma kama pasi huyo mwanamke utakua ulipewa hujamtafuta
 
Mwanamme usafi jamani,ivi ujiweke mchafu unanuka jasho tafran moja kwa zote ukere wenzio iwe kwenye gari au kwenye msongamani wawatu,,unapita harufu yako ya jasho sijui ya wapi unakera wenzio kwanini kisa mwanamme? haijahusiana uchafu na ushoga... kuhusu pesa kulalamika kawaida na kupambana lazima wapambane kama watu walikua wamezowea
Deal zao pesa ni kila siku ghafla zimekata lazima waseme lakini haimanishi hawapambani they have to lakini binadamu kusema wajib...
 
Kwanza wewe utakua hujaoa,hivi unazani sasa wanawake wanaojielewa wanafukuzwa fukuzwa hovyo eee,mwanamke ukimfukuza jua kuwa na mali zako nazo zinapungua(mnagawana),kwahyo kumfukuza mwanamke inatakiwa ujipange kwel kwel,bila hvo unaweza kumtajirisha huyo mwanamke
 

Usafi kupita kiasi mkuu.
 

Acha uoga wa kijinga wewe, we mwanamke hakuheshimu, anakudharau bado unawaza kufilisika. Hakika wanaume tunazidi kupungua.

Ni bora ilazimu uhai kuliko heshima ya uanaume kuvunjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…