2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 508
- 1,429
Jamani.
Imekuaje tena wanaume mmeacha kupenda kama wazazi wetu wa zamani.
Upendo wa baba zetu ulikuwa wa kweli, ilikuwa ni ngumu kusikia mwanamke analia kwa habari za kupigwa, kuchitiwa, kunyanyaswa.
Ila wanaume wa sasa, hawako romantic mwanaume hawezi kubembeleza.
Mwanaume anachojua kojoa nikalale.
Mwanaume wa sasa ni wa ajabu jamani, washukuriwe babu zetu waliojua kupenda na kuyaenzi malavidavi.
Na sio migudume ya sasa inayojua kupiga mwanamke.
Yaani mwanamke haukai unaienjoi mapenzi kila kitu unaona moto.
Hello my Gentlemen tunawapenda,
Mbadilike ,
Usiku mwema.