Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Wewe uliolewa kwa bahati mbaya maana huna sifa za kuwa mke. Mke gani badala ya kumrekebisha mtu wako unaanika udhaifu wake hadharani? Halafu unasema mume akifa hao watoto wataenda wapi? Unajuaje hutaanza wewe kufa? Ovyoooooo.....
 
Kabisa, ila tunawakumbusha tu, nyumbu anavutwa na nyumbu mwenzake, sumaku inavuta vitu vyenye asili yake, sumaku hauwezi kuvuta mbao au almasi, wanawake wanaopata wanaume wa hovyo ni kwa Sababu wao ndio wana attract wanaume wa hovyo na kuruhusu kuwa na mahusiano nao. Kwa lugha ya mtaani kimahusiano wanaitwa " bum magnet"

Kama mwanamke Kila siku unapata midude ya hivyo, jifanyie assessment na wewe pia, utakuwa una tatizo katika lifestyle Yako na life perceptions zako na inakuletea bad judgments and choice mbaya pia.

Sio Kila siku kulaumu wanaume tu bila kutake responsibility ktk maamuzi and choice zako. Mwanaume uliye nae uko nae kwa Sababu ulimfungulia mlango mwenyewe na hata baada ya kuona ni kimeo ukaendelea kuwa nae ukitarajia atabadilika au utambadilisha.
Sawa ila Nyumbu ndo kichwa cha familia. Tatizo huanzia hapo
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Mi sili Bata, nimejenga, familia yangu inaishi ndani ya Boma la jasho langu, sinywi pombe, siendi club, Niko nje ya mkoa wangu kikazi, nahonga mwisho elfu 20 mala moja kwa mwezi na Kwa bahati mbaya
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Hela zangu Hadi matumizi uniapngie.
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
 
Chief naomba niongezee hapo kidogo ,nasakafia kidogo
3.Awe na iphone sio simu anataka iphone pekee
4.Awe na mavazi mengi mazuri ya gharama ili asirudie rudie
5.Uwahudumie na ndugu wa upande wake tu
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
Kumbe mtuoe ili tuzeeke kwenye nyumba ya kupanga tena uswazi Bora mpange nyumba stand alone ya laki nne .
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
Kumbe mtuoe mtuweke na watoto nyumbani hatuna mbele Wala nyuma hata nyumba ya vyumba vitatu hamtaki kutujengea?
 
Kumbe ww ni kilaza i rest my case 🚮🚮🚮.

Bora hata sikuchangia unapataje 0 asee 😂😂😂😂😂.
Na form 4 unajisifu 2.21 ni nxuri hiyo si 3 kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣.

Acha uendelee kuzalishwa tu.

Naomba Mungu watoto wasiwe majinga kama ww 🚮🚮🚮
Alikuwa na mimi nikiwa na miaka 21. Ulitegemea nipate division one? Mbona form four nilipata division two. Aliniharibia maisha Sasa ajenge nyumba roho yangu itulie
 
Wanawake bwana vipao mbele vyao vikuu

1. Aolewe
2. Ajengewe nyumba

Hili la nyumba ukisoma uzi kwa makini ndio linalengwa hapa baada ya la kwanza kufanikishwa
Hakika ajenge nyumba Mimi na watoto hata na yeye turelax. Kumbuka huyu jamaa alisababisha dream yangu ya kuwa medical doctor ilipotea.
 
Back
Top Bottom