Wanaume amkeni acheni kulalama


ni kweli mine... mtu wa kulalama hana solution
 
aisee...!!
Kivipi ?
Wengine umalaya upo kwenye damu akiamua ameamua sio kwamba amekosa mahitaji au we unaonaje ?

mwanaume unayejitambua huwezi kupangishwa kwa sababu unarule na power kwa huyo bibie..... kama anapata kila ktu kutok kwako she dont have a say rather than to obey ,.... ila kama unalega lega uwezi mwambia kitu atakucontrol kesho siji nakweli haji without strong reason.......poor management lead to poor outcomes okey...
 

human nature is selfish..... so laki mbili kuombwa ni muhimu kama kiongozi lazima uwe na argue why all this money that all ..... michango ya mawazo mnapewa ila mnakuwa wazito kufanyia kazi na kuishia kulalamika tu
 
Hapa bado najiuliza hili swala la haki sawa kwa wote linamanisha nini ikiwa mnalalama kujitetea muhudumiwe. Nieleweshe hapo kabla sijakupa like miss chaga
 
Last edited by a moderator:

aisee..... haya maneno mmmhh
basi wanaume wengi duniani ni legelege
na wanawake wengi duniani ni legelege
ndio kwa sababu wanachapiwa
nakwambia hadi mandella alikuwa lege lege ndio alichapiwa mpaka akahama nchi na kuja kupumzika Tz
na aliyechapiwa na babu seya kweli ni legelege muulize mh wa ubungo
ndio hivyo asilimia kubwa ya watu duniani ni legelege kwa mujibu wa maelezo yako
 

Ndiyo ukweli kuna sehemu umekuwa loose... your weakness is my strengthen.
 
Hapa bado najiuliza hili swala la haki sawa kwa wote linamanisha nini ikiwa mnalalama kujitetea muhudumiwe. Nieleweshe hapo kabla sijakupa like miss chaga

Hakuna haki sawa duniani na haitakaa itokee nature already define that.... ni kiorganisation cha watu wenye uwezo wa kuchezea akili za watu na kutafuta hela wamekuja nacho.... never on earth
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo ukweli kuna sehemu umekuwa loose... your weakness is my strengthen.

kwani nimebisha hakuna mwanamke malaya ila tunashindwa kuwatunza kwa sababu hatuna nguvu za kuwalinda maana wapo wanaume wanaenda na wenza wao kazini saluni sokoni kwenye kitchen party kwenye vikao vya kazini kwake kwa hiyo hao ni wachache ila tuliobaki ni legelege
 
Kweli aisee

Mume anayejielewa anahudumia mkewe/famikia yake


Sio kukesha bar huku hajui hata ada ya watoto inalipwaje... hajui hata size ya kiatu cha mkewe
 

Nikimwambia :"usiende kazini i will provide for you..."
Atakubali? si atasema naleta mfumo dume... si atasema namnyima haki yake.... si ataleta mastori milioni ....

Personaly pesa ya mwanamke ya mshahara anayoipata ni ya KWAKE.... atumie atakavyo.... ya kwangu ndio ya kwetu. Na ikitokezea nimeazima ya kwake huwa nahesabu ni deni ambalo lazima nimlipe....

Hivyo ndio tulivyofunzwa na wazee... kinyume na hapo chaos!!!
 

Hapa umemaliza kila kitu mkuu tatizo dada zetu wamekaa kimaslai yao zaidi mana mwningine ukimuliza nin maana ya kuhudumiwa atakwambia kutolewa out na starehe nyingne zisizo na mantik yoyote ktk maisha na unaposhindwa hapo unaonekana umeshindwa kuhudumia

Unakuta mdada bajeti yake ya makeup ni mshahara wa mwanaume kwa mwezi halafu unataka kuhudumiwa yote hayo.

Nakumbuka kuna mtu alileta uzi hapa kuwa demu wake ataki kufanya biashara wa kusomeshwa ila nae mwisho wa siku atasema hahudumiwi.
 
wanawake wa kiafrika siku mkiacha kumuona mwanaume kama mtu pekee anayeweza ingiza pesa labda mtabadilika..
Siamini unakuja humu na lawama ati mnatongozwa ili mpewe hela, tofauti na malaya anayejiuza mtaani ni kua yeye anafanya direct afu wewe indirect... lakini wote walewale tu....
Stop acting stupid! mwanamke mwenye mawazo yako ntachezea tu ila siwezi weka ndani, ntakugeuza malaya ambaye nakula mzigo kwa kumlipa vijipesa na vizawadi vidogo vidogo maana ndo level uliyojiweka
 

aafu mwanaume unayetoa hela baada ya kutiana we ni famba....... pili acha kukimbia majukumu yenu nitazaa kwa uchungu utatafuta kwa jasho...... ukiona hivyo jua anayejielewa anakuchapia kimya kimya huku akikutunzia mkeo
 

mkuu kuweka wanja, starehe vyote ni hali ya maisha ya sasa na mahitaji ya sasa kwa mkeo au mpenzio...... toa huduma ukimpa biashara akala mtaji jua yeye ni ajielewi pamoja na wewe kiongozi wake woteee amjielewi
 

mwanamke kuwa kazi ni kama generator umeme ukikatika ghafla yeye aweze kupush up maisha si unakufa ndiyo kila kitu kimekufa basi tu amuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…