Sasa usipovaa kyupi halafu ikasimama wakati umechomekea inakuwaje?
Unatia mkono mfukoni!!
Maasai walishaliona hilo karne kadhaa na wadumisa mila kwa fuyo...:wink2:Wanaume wengi hivi sasa wanakabiliwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam wa masuala hayo. Lakini kuna sababu moja imeachwa nayo ni uvaaji wa kufuli zinazobana. Kiafya, sehemu nyeti ya mwanaume hasa zile gololi zinatakiwa ziwe huru (free) kucheza kadri inavyowezekana. Zinapobanwa uwezo wake wa kuzalisha "bidhaa" unapungua kwa kiasi kikubwa na kusababisha kiasi cha "mbegu" na hata nguvu ya kupanda "mlima" kupungua. Kwa wanaovaa kufuli zinazobana waache mara moja. Watafute zinazopwaya ili kuruhusu "kiwanda" kifanye kazi yake ipasavyo. Sijui kama umewahi kujiuliza kwa nini wamasai wanaume hawavai "kufuli"? Ebu jaribu kufanya kautafiti kadogo upate sababu yake.
Wanaume wengi hivi sasa wanakabiliwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam wa masuala hayo. Lakini kuna sababu moja imeachwa nayo ni uvaaji wa kufuli zinazobana. Kiafya, sehemu nyeti ya mwanaume hasa zile gololi zinatakiwa ziwe huru (free) kucheza kadri inavyowezekana. Zinapobanwa uwezo wake wa kuzalisha "bidhaa" unapungua kwa kiasi kikubwa na kusababisha kiasi cha "mbegu" na hata nguvu ya kupanda "mlima" kupungua. Kwa wanaovaa kufuli zinazobana waache mara moja. Watafute zinazopwaya ili kuruhusu "kiwanda" kifanye kazi yake ipasavyo. Sijui kama umewahi kujiuliza kwa nini wamasai wanaume hawavai "kufuli"? Ebu jaribu kufanya kautafiti kadogo upate sababu yake.
Heri yangu mimi nisiyevaa kabisa na mambo yapo swaaafi kabisa! Engine ni kick moja tu yaani pamoja na uzee wangu ukizungusha switch kidogo tu muda wowote inajibu.
Mwanaume mimi ndio maana sivaagi kabisa. Nataka upepo upite halafu akue vizuri.
Sitaki kubanwa banwa.
Nazilinda nguvu zangu kuliko chochote.
Dena mama, kweli tusipuuze hekima za wazee. Lakini hoja hapa zijikite kwenye sayansi yenyewe eti?
Mmhhh, siamini vile!
huamini nini sasa.