Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Mwanaume unaandika kama demu utakuja olewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kwa lugha uliyoandika huna uwezo wa kumlisha mwanaume, mwanamke ambaye anampunga hawezi kutumia neno jomoni hilo linatumiwa na mabinti kama wewe ambao hata simu uliyonayo jamaa kakununulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wenye vipato vyenu na nyie mna kazi sana. Hapo ukute ulimpata baada ya kuona hali imekuwa tete ukaamua walau umpate wa kukupunguzia [emoji3] [emoji3] matokeo yake ukaja gundua unaingizwa mjini sio muda ukajiongeza
Aaaah kama nimekusoma ...Yaaan kapigwa kitambo kuja stukia late sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto umleavyo, ndio akuavyo... Ahsante kwa kunielewa mkuu
 
Siku ukigombana na shost mmoja unaanza pewa makavu na kuchambwa, kumbe storee uliwapa mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
naam, hata huku wamejaa midada yenye uswahili mwingi, hujifanya wanajua kusuta, lkn wanaume wa humu nao huenda nao polepole hadi kinaeleweka, wakileta za kuletwa vinarushwa humu mwishowe inabadili id[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…