Na kweli Mungu atusaidie!...hivi ukianza kumlisha utamheshimu kweli?Katika maisha yangu sijawahi Kuwaza kama ntamhudumia mwanaume kirahisi hvyo akae antegemee Mimi hapana kwa kweli!Mungu ansaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana...sitaweza hata kumpa heshimaa!!yaani naomba Mungu kwa kweli mwanaume dizaini hyo nimuone tu kwenye video[emoji2] [emoji2] [emoji2]Na kweli Mungu atusaidie!...hivi ukianza kumlisha utamheshimu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niende naona wakaka wanamshambulia tu mdada hawa me wa siku hizi sijui kizazi cha ngapi!Jomoni karibuu....woyoooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Shost uanze huu uzi mwanzo uteme madini yako maa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisaa!!!Hujaelewa point yangu
Kusaidiana kupo
Ila isiwe umenitongoza ili upate kitonga cha maisha
It's disgusting
Wankeraaaa[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Hahahahaaaa!! Muombe password.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] wit wewwee
Fanya kurusha ebu... Binafsi sijawahi kuona mwanamke anayehonga toka nizaliwe.Desperate?serious
Am living my life
Hata huyu kanitongoza kwa kuhangaika sana sikuwa na time naye
Story ni fupi alikuja kupata nafuu ya maisha anakuta the opposite
Hata kudo tumedo only twice
Kwayeye kufoc
Alitaka tumia ngono ili nifall aanze kunichuna nikamstukia mdangaji,nikasepa
Coz silei marioo
Walomleta mjini ndo wamleee
Sina dhiki ya wanaume
Wako wengi nawapanga navyotaka
Alichotegemea hajapata
Mie pamoja na kuwa na kazi natuzwa situnzi mtu mwenye mbupu zake
Ama mnataka nirushe hadi chat zake za kulia njaa na kufake mapenz ndo muamini
Am done and he is gone
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mario? share uzoefuMamarioooo sema oyoooooo
Hahaaa!wapo Daby ila sio MimiFanya kurusha ebu... Binafsi sijawahi kuona mwanamke anayehonga toka nizaliwe.
hata kumskia pembeni... nawaona-ga kwenye mitandao kama hivi na kwenye story bubu.
Mimi ndicho nachoshangaa... hivi wanawake hawa hawa!Hahaaa!wapo Daby ila sio Mimi
Hivi mwanaume aanzaje kuomba pesa loh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huuhuu au umsikie kwa mashostHapana...sitaweza hata kumpa heshimaa!!yaani naomba Mungu kwa kweli mwanaume dizaini hyo nimuone tu kwenye video[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamo humuu wanakusikia ni wana hasira baraaaMamarioooo sema oyoooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eeeh tunataka ushahidi ili tuchambe uhalisia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] wit wewwee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa...uko ka mimi, nimekupenda bureeFanya kurusha ebu... Binafsi sijawahi kuona mwanamke anayehonga toka nizaliwe.
hata kumskia pembeni... nawaona-ga kwenye mitandao kama hivi na kwenye story bubu.
Sio inamuuma ni hatuna! [emoji23] [emoji23]Mimi ndicho nachoshangaa... hivi wanawake hawa hawa!
Nadhani labda mwanamke anamwahi honey chukua hii laki 2 katumietumie. Hela ya mwanamke ni inamuuma.
Aseeh..... kwa hiyo huwa unaomba pesa na kuomba kununuliwa simu au yeye ndiye anakwambia baby chukua!Miaka mitatu iliyopita nilipogundua Demu Fulani wakishua,nilifanya vituko vyote mbele yake.Mtoto alinielewa kiasi kwamba vituko vilimzidia hadi akanitongoza mwenyewe.Hapo Ikawa Kama mbuzi Kufia kwa muuza supu.Alikufa akaoza,na mm niliendelea na maigizo yangu kwa Ufundi wa Hali ya juu,game Kali,uaminifu wa Hali ya juu kuhakikisha nazitumia hela ipasavyo.Japo yeye sio sugar Mamy and whatever,she is even under 20.So ndo advantage Kwangu hyo.Simu htc nikaona mbaya Huyo iPhone.kweli lodge yy ndo analipaga.nikihitaji 20K chap tu anytime.Sema On top of that I'm tall and handsome.watoto wa kishua tena!
Mnazo tena nyingi. Sijui huwa mnafundishwa somo gani tusilolijua angali mu wadogo
Vijana kwa tambo utzani tamthilia za kiswaziMiaka mitatu iliyopita nilipogundua Demu Fulani wakishua,nilifanya vituko vyote mbele yake.Mtoto alinielewa kiasi kwamba vituko vilimzidia hadi akanitongoza mwenyewe.Hapo Ikawa Kama mbuzi Kufia kwa muuza supu.Alikufa akaoza,na mm niliendelea na maigizo yangu kwa Ufundi wa Hali ya juu,game Kali,uaminifu wa Hali ya juu kuhakikisha nazitumia hela ipasavyo.Japo yeye sio sugar Mamy and whatever,she is even under 20.So ndo advantage Kwangu hyo.Simu htc nikaona mbaya Huyo iPhone.kweli lodge yy ndo analipaga.nikihitaji 20K chap tu anytime.Sema On top of that I'm tall and handsome.watoto wa kishua tena!