Wanaume acheni kututoa roho kinyama

Tumekutana watu wazima tuliokulia malezi,mtazamo,elimu,itikadi,uchumi,imani tofauti kabisa hivyo ni lazima wote wawili tujifunze kuishi kutokana na utofauti wetu,tukitofautiana unapaswa ukae na mimi au ukae nami unieleze,tumeshindwana tuachane kwa amani jamani,ila ukinyanyua mkono au ngumi kunipiga sababu tumetofautiana au nikuogope nikubali kuendelea na wewe ni UDHAIFU WAKO WA KUTOKUJUA KUJENGA HOJA KUNISHAWISHI,NA UJINGA UMEKUJAA TU
 
Lazima mpigwe tu maana hamana sasa kama mtu unaambiwa acha umalaya wewe husikii .lazima upigwe tu.na nasema wanaume wapigeni hoa wanaowasumbua

Na mtaishia gerezani
 
Ndio maana wanaume wanalazmishwa kuoa mke zaidi ya mmoja.ukishakuwa na wake wawili au watatu au wanne huwezi kufkiria kuua mwanamke!hivyo nyie wanawake ili msidhuriwe acheni waume zenu wawe na wake wengi ili siku ukitaka muachane mtaachana kwa amani na upendo kabisa
 
Bado wewe na nyie muachane na waleti zetu...! Ikila ujue kuna kulipa..
 
Kunipiga ni udhaifu wako na ujinga wako wa kutokujua kunishawishi.
Yaani niendeleze mahusiano au ndoa na wewe sababu ya kuwa naogopa utanpiga?unakubali uwe na mimi na unajua kuwa sina hisia nawe,sikuheshimu tena ila nakuogopa?huo ni upumbavu
NARUDI


Tunaomba urudii urejee kile kisa cha mwanza majuzi hapa kuna dada kanyongwa na mpenzi wake,na mwanaume alikuwa anaishi kwa mwanamke
 
Hello Mr,wanaume Wanalazimishwa Na Nani Waoe Wengi?Halafu Wanaume Wengi mnapenda polygamy lakini nyie nyie ndo mliotufundisha na kutuaminisha kuwa tuwamiliki hakuna mwingine umpende
 

Naomba utukome kwa nguvu gani mlizonazo wanaume wenye nguvu hii dunia wachache wanaoweza miliki wake watatu
 
Tatzo mnakula hela ztu mno [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Naomba utukome kwa nguvu gani mlizonazo wanaume wenye nguvu hii dunia wachache wanaoweza miliki wake watatu
Eti nguvu kwani ugomvi..! Nikitaka papuchi ata kama napiga ½bao nakuwa na many choices mambo ya kuridhishana kwani unanilipa utajijua mwenyewe huko.
 
Mimi siwezi kumpiga mwanamke,namrudisha had kwao tena na cha jioni nakula kwao then naondoka zangu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aise unapasha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…