Wanaume acheni kututoa roho kinyama

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,607
Reaction score
27,607
Jamani jamani kwani ukiona mmeshindwana na mme /mke/mpenzi /mchumba si unamuacha tu mpaka umtoe roho yake,visa vya wanaume kuwauwa wanawake vimezidi,kwani nyie wanaume hamuwezi kuachana na mwanMke mpaka umuue mbona ni ubinafsi wa hali ya juu na roho mbaya kuzidi,umemuona mwanamke ana danga lake muache chukua kifaa kuzidi yeye huwezi fanya mambo mengine huwezi kosa wanawake wengi mno mbona,unamuua mtoto wa mtu unaishia nawe Gerezani faida nini ?

Wanawake ukiona unaishi na mwanaume ana wivu sana ana mkono wa kukupiga jua kuna siku atakunyonga ukifatilia sana wanaoua wengi ni wanapenda kupiga wanawake yaan yeye hawezi hata kupigana na wanauke wenzie ni kupiga mwanamke

Kimbieni wanaume wanaowapiga mwanaume anajifanya kukuonea wivu utafikiri kakupa airpot ya dar uimiliki,wivu uwepo lakin usizidi kiasi,na nyie wanaume mnaowapiga wapenzi au wake zenu hamuogopi kula chakula cha mwanamke unaempiga akikuwekea sumu jueni na sie tuna hasira sema kuwapiga hatuwezi

Mwanamke unapigwa upo tu unatolewa upo tu siku akikunyonga akili itakukaa vyema kaburini

Mrs G
 
Eeeee kama hamjirekebshi sii tufanyeje? Serikali itusumbue na wake zetu mtusumbue haiwez kuwa sisi sirikali itupga risasi sasa sisi tuwafanyeje? Sirikali ya mtu ni maamuz yake plz badilkeni huu wkt sio Wa jakaya aiseeee
 
Yaan kuna dada alikuwa na kibenten si kimemuua kisa kilimuona na danga ,basi mwanamke hajataka kutulia mwache tu sio riziki yako
Huyo kibenten alijua ashakosa pa kula ndo maana!

Achabeni kwa wema
 
Bado nafikiria.

Mpaka siku akikunyonga akili ikukae sawa.

Hapa kilimaanishwa nini? Itakua njaa imenizidi.
 
Pamoja na utamu wa papuchi,ila hakuna haja ya kupigana,mkishindwana mnaachana tu kiroho safii!
 
Kunipiga ni udhaifu wako na ujinga wako wa kutokujua kunishawishi.
Yaani niendeleze mahusiano au ndoa na wewe sababu ya kuwa naogopa utanpiga?unakubali uwe na mimi na unajua kuwa sina hisia nawe,sikuheshimu tena ila nakuogopa?huo ni upumbavu
NARUDI
 
Ningefurahi ungewaambia au kuwashauri wakiona mwanaume wa namna hiyo wasichepuke kabisa.
Yaani hata dalili zisionekane.

Katika vitu mwanaume anaweza kuuwa tena kwa makusudi, ni uchepuke ajue. Hapo utachezea kichapo heavily zaidi ya mbwa koko. Ikiwezekana hata kuua kabisa.

Ukikubali kuolewa kubali kuacha yote uliyokuwanayo mwanzo. Hapo utaishi kwa Amani. Ila ukijichanganya ikajulikana, hata uombe msamaha mwaka mzima. Lazima itakula kwako.

Katika vitu mwanaume huhisi valueless ni kujua anapigiwa mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…